pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

Kwa sales team itawakata sanaaa! Watu huwezi kuwaajiri kwa mkataba moja kwa moja! Inabidi ndo uwatest anaeuza vizuri ndo unampa mkataba na bima na Nssf. Bila hivo mtu ana mkataba hapafomu na ukimfukuza umlipe!

Hapo mi naona 2 options, Unachukua hio Kilo 2 unalala nyumbani raha mustarehe.

Unachukua Kilo 2 unajituma kuuza hio 10 unaondoka na kilo 4

Either way you win sababu hubanwi, unaenda asubuhi tu ukute mda unaobaki wafanya mambo yako tu!

ndugu kwa mfumo wa kazi hapa huwez lala nyumbani pili mfanyakazi wanafurahia kazi zao kwa jinsi kazi ilivyo na itaavyo kuwa nzuri huwezi lala wala kuleta mzaa yapo mambo mengi ya kuzingatia kabla huja ingia kazini na kuondoka kazini kila siku, bidhaa zetu zina kubalika sana kwani ni bidhaa mpya hapa Tanzania amabyo kila mtu ata taka awe nayo nyumbani kwake kwani huokoa gharama sana, rahisi kutumia hvyo humfanya mfanyakaxi kuwa na kazi rahisi sana ya kupata watu tembelea www.simgas.com kwa maelezo zaidi ya bidhaa yetu
 
You cant be serious 200,000tsh?, i doubt if this is the real job. Anywayi propose the qualifications below, for u did'nt put:-1-standard seven orii-60%
 
SALES REPRESENTATIVE POSITION

Are you a young, energetic and responsible Tanzanian looking for a chance to work in a well organized company? Simgas is looking for sales representatives to sale its biogas plant. If you believed you are among of the talented and qualified person, Please come to simgas office at chang’ombe maduka mawili Saturday 23th March 2013 at 08:00 am for the interview.

Monthly salary is 200,000/=
plus commission of 20,000 for every plant that you may sell, minimum monthly sale is 10
Transport and communication allowance will be provided as well

Ina maana hiyo interview hakuna vitu wanavyoviitaji vya kwenda navyo au unaenda tu mtu mwenyewe kama ulivyo?
 
Uko wrong sana Simgas ina originate Holland kweli Owner Mirik nt mic walio wengi ni wa africa na kampuni yetu kabila na rangi its not an issue,our issue is to give and serve you with the best of our services.Wote tuna roho nzuri kwanzia Boss wetu hadi wafanyakazi na tuna penda wateja wetu

Sasa unachobisha nini wakati Owner ni Miki sijui Mirki na wengine wote vibarua mmeajiriwa? Au mshapewa shares mmekuwa Patners!

Usikasiike hata mie KIBARUA TU! As long as uko kwa Payroll we ni KIBARUA TU! Na Mirki is Polite 100% at least was to me!
 
Hapo usiposoma vizuri unabanwa na technicalities wamekwambia comission of 20,000 halafu uneed to atleast sell 10 of those which means 20,000 x 10 = 200,000 ambayo ni monthly salary so possibility ni kwamba utalipwa in accordance to the sales u have made..usipouza hulipwi holland ni capitalists they wont pay u if u make no sales thats how i see it...over...!

Lazima wakulipe banaaa acha woga! Hio target unayopangiwa ni ya kupigishana kelele tu! So hata usipouza watakujambisha tu ila mwishoni lazima wakulipe hizo Kilo 2
 
ndugu kwa mfumo wa kazi hapa huwez lala nyumbani pili mfanyakazi wanafurahia kazi zao kwa jinsi kazi ilivyo na itaavyo kuwa nzuri huwezi lala wala kuleta mzaa yapo mambo mengi ya kuzingatia kabla huja ingia kazini na kuondoka kazini kila siku, bidhaa zetu zina kubalika sana kwani ni bidhaa mpya hapa Tanzania amabyo kila mtu ata taka awe nayo nyumbani kwake kwani huokoa gharama sana, rahisi kutumia hvyo humfanya mfanyakaxi kuwa na kazi rahisi sana ya kupata watu tembelea Welcome to SimGas kwa maelezo zaidi ya bidhaa yetu

Weweeeeeee! Mimi najua kuliko huo mtambo na ukweli kuwa Bacteria wanakufa kufa dail na hawatoi gesi! Nimenyamza tu nisikuharibie business!. Na watu wote wa mauzo ni walalaji n you can cant control that! Unavomtuma akatafute mteja wewe umejirelax kwa AC nayeye anaenda home kujirelax kwa Feni home kwake!
 
Tangazo lenyewe umelitangaza kienyeji sana ndiyo maana walio wengi hawawaamini nyie kina Doricy

nkulize swali hili si jukwa la ajira na tenda sasa ukienyeji wangu uko wapi ndugu, nkusaidei kitu siku ukipewa tarifa na mtu jaribu kwanza kufatilia kwa njia zako mwenyewe je tarifa hii ni saihii au ni uwongo,ingekuwa mimi wewe ninge anza kwa ku google ili nijue uhalali wa kampuni hii au ajira hii.This is a social site na watu wanopita hapa ni wengi huwezi kumuandikia mtu info refu wakati kuna thread zingine anataka soma una hit the point wa kuelewa ana elewa then off you go to other threads Usikariri rafiki yangu Be carefull next time, be smart
 
Weweeeeeee! Mimi najua kuliko huo mtambo na ukweli kuwa Bacteria wanakufa kufa dail na hawatoi gesi! Nimenyamza tu nisikuharibie business!. Na watu wote wa mauzo ni walalaji n you can cant control that! Unavomtuma akatafute mteja wewe umejirelax kwa AC nayeye anaenda home kujirelax kwa Feni home kwake!

As long as we are growing and we see sales growing daily you can speak, write or Shout via word as you wish tuna kukaribisha jumamosi pia tutakuajiri tena ila kama wewe ni miongoni mwa wale tulio wa simamisha kazi kwa uwizi utatusamehe kwa kweli. Note kitu kimmoja iwe kibarua iwe ajira au tunajitolea tunamshukuru Mungu kwa sababu ametujalia hata hiki tupatacho.
 
Kimsingi simgas ni unprofessional,so mtu yoyote anaweza kufanya kazi,hawafati taratibu za kuajiri na hiyo 20000 wala sio kweli mwisho wa mwezi ukifika majungu tele mwisho unamezea...
 
Ndiyo mkuu,sales hii haihusishi watu wenye leseni za udereva labda kwa mana kuna makampuni mengi tu ambayo kwenye sales team wanafanya distribution kwa kutumia magari ya kampuni,je kwa nafasi za wenye driving licence zinapatikana au kampuni yenu haitumii gari za kampuni kwenye sales and distribution'
 
Kimsingi simgas ni unprofessional,so mtu yoyote anaweza kufanya kazi,hawafati taratibu za kuajiri na hiyo 20000 wala sio kweli mwisho wa mwezi ukifika majungu tele mwisho unamezea...

hahahah na wewe unajita great thinker, Sales any body can do it awe form four awe lasaba as long as he or she has negotiating powers and can meet he or the target. kingine every company has some factors zinazo itaji kutoka kwa wafanayakzi wake usifikiri kisa wewe una degree au masters au diploma ndio tukuajiri we have our set goals ndio maana tunafanya interview angalia zoom Tanzania tuliweka tangazo wakaja watu na madegree yao lakini hawaku meet target tulikuwa tuna taka ndio maana tumekuja na huku ili waje watu wengi kwenye interview na ndio maana hatuja weka barrier yoyote kwa mtu ukiona haikufai all the best.
Simgas bado ni kampuni mpya ndio kwanza inakaribia kutimiza mwaka hapa Tanzania nakushanga unavyo sema hatulipi wafanyakazi njoo waulize kama kuna hata mtu mmoja hajalipwa mshara wake tena tunalipa kabla ya tarehe 28 kila mwezi.

kati ya makampuni smart hapa Tz we are among them. Simgas has reputable patners EU,Heifer,Camartec,farm friends Tanzania,Tanga Fresh,SNV afu unaona kama sisi hatulipi with all this patners si wangesha ondoka,be smart next time fanya research kabla ya kuandika vitu.
kesho njoo changombe fanya interview kwa staff wetu waulize if they have any problem with payments or life at Simgas Gush!!
 
Ndiyo mkuu,sales hii haihusishi watu wenye leseni za udereva labda kwa mana kuna makampuni mengi tu ambayo kwenye sales team wanafanya distribution kwa kutumia magari ya kampuni,je kwa nafasi za wenye driving licence zinapatikana au kampuni yenu haitumii gari za kampuni kwenye sales and distribution'


mhmm leseni hatu izingati sana kwani tuna madereva wetu na magari yetu kwa ajili ya kazi wako wafanyakazi wa aina tofauti kuna madereva,kuna matechnician kwa ajili ya mitambo na kutembelea site za wateja,kuna sales representative kuna sales team leader kuna boss wa upande wa sales kuna administration operation,Kuna busines development..
Any way unaweza apply sales ikitokea umepata kazi bada ya interview siku madereva wana hitajika obvious kama ukiwa mfanyakazi utajua tu.
 
kesho ndio siku ya interview jamani msi sahau sehemu ni changombe maduka mawili ulizia ofice za simtank walipo ndio na sisi simgas tupo eneo hilo karibu

msisahu CV zenu pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom