Past Continuous Tense (Wakati uliopita hali ya kuendelea)

CHUO CHA UFUNDI JITA

Senior Member
Feb 8, 2013
116
23
[h=1]PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE[/h]

Kiswahili: Juma amekuwa akicheza mpira wa mguu
English: Juma has been playing football

SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya HAS BEEN kwa Pronoun au Noun za Umoja na utatumia HAVE BEEN kwa Pronoun au Noun za Wingi.
Unapotumia neno BEEN katika sentensi, ni lazima VERB iongezewe –ing mwishoni kuonesha tendo linaloendelea.

HAS BEEN
He
Has been
Praying
She
Has been
Dancing
It
Has been
Crying
Oliver
Has been
learning

HAVE BEEN
I
Have been
Reading
You
Have been
Singing
We
Have been
Sweeping
They
Have been
Sleeping
Anna and Aidan
Have been
working

Mifano zaidi katika sentensi;

Ø I have been sweeping the floor since in the morning
Ø She has been learning since it started raining
Ø Juma and Asha have been playing volleyball for 2 hours.

KARIBUNI
 
Ndugu, Naona umekosea kidogo. Kichwa cha uzi wako unasema "Past Continuous Tense." Kichwa cha mifano yako (pamoja na Mifano,) ni ya "Present perfect continous tense."

Mfano mzuri wa Past Continous Tense ni: We were eating Ugali, They were playing football. n'k
 
PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE

Unapotumia 'since' kwenye present perfect continuous unaonesha kitendo kilianza wakati gani.Na unataja huo wakati moja kwa moja bila kiunganishi chochote.Kwenye huo mfano wako hapo juu, maneno niliyoyaweka rangi nyekundu hayatakiwi kuwepo. Si sahihi kusema:
They have been playing football since in the afternoon.Kwenye sentensi hii tunatakiwa kuondoa maneno 'in' na 'the', ili sentenso isomeke:
They have been playing football since afternoon.
Ni hayo tu kwa leo.
 
Nashukuru Mkuu kwa marekebisho
 
Ndugu, Naona umekosea kidogo. Kichwa cha uzi wako unasema "Past Continuous Tense." Kichwa cha mifano yako (pamoja na Mifano,) ni ya "Present perfect continous tense."

Mfano mzuri wa Past Continous Tense ni: We were eating Ugali, They were playing football. n'k

Ni kweli mkuu, ndo naona kosa, nisaidie kuwaita invisible wasaidie maana kwangu inanizingua
 
Vipiiii kama unataka kusema nilikuaa hapa tangu jana em mtaaalamu njooo unirekebishe hapa.
-I have been here since yesterday ( hapo matumiz ya "ing" yataenda je)
 
^ Mkuu - sentensi yako iko sawa vile ilivyo. "I have been here since yesterday" ni sawa tu
 
Nashukuru Mkuu kwa marekebisho

1.Umekosa pia, rafiki. Ni lazima kuondoa 'in' tu katika sentensi hiyo.

Sahihi ni: They have been playing football since the afternoon.

'They have been playing football since in the afternoon.' - This sentence is wrong!

'They have been playing football since afternoon.' - This sentence is ALSO wrong!

Katika muktadha huo 'afternoon' inahusu 'specific time' (wakati mahsusi) yaani, 'mchana ya siku ya leo'. Kwa hiyo ni lazima kutima (definite article) the.

2. "SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya HAS BEEN kwa Pronoun au Noun za Umoja na utatumia HAVE BEEN kwa Pronoun au Noun za Wingi."

Hapana. Tunatumia 'has been' kwa 3rd person singular tu (noun au pronoun), yaani, baada ya 'he', 'she', 'it'. Kwa wote wengine tunatumia 'have been' - haidhuru kama ni umoja au wingi!

I have been eating...
You have been eating...
He / She / It / John / the dog has been eating..
We have been eating...
You have been eating...
They have been eating...

Na kama tulivyosema, tense hiyo inaitwa, 'The present perfect continu​ous'.
 
shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom