Partenity leave: Nini tunatakiwa tufanye kama wanaume?

Paternity leave inatolewa siku 3 tu sasa ndani ya siku hizo baba anaweza akamsaidiaje mama?

Binafsi naona akina baba nao tupiganie haki angalau tuwe na Paternity leave ya siku 30.
sie tunapewa six working days, wengine siku tatu

cha maana ni kuwa na utaratibu fulani, kwa mfano saturday au sunday unapiga shiopping ya mahitaji muhimu (God forbit mgao), unakua on the loop na chochote kinachotokea hata kama mama mkwe au mamko yupo kwa phone calls, kupita home earlier na hata kuangalia possibility za kupanga annual leave yako iendane na wakati mtoto anazaliwa

Mtoto sio kama malaria au ajali, you know he/she is coming some months back and that give you chance ya kujipanga na kuweka mambo sawa..

it can be done

pamoja na utundu wetu na mambo yote ya hii jamvi letu tamu, kukumbushana hivi vijimambo huwa safi sana

au sio mpwa?
 
Hii paternity leave ni wakati mzuri wa kuwa site ukishughulikia ujenzi wa nyumba au kwenye shughuli za ujenzi wa familia.

Tata...........yaani wewe ndio umetoa uhalisia kabisa wa kile nlichokuwa nakiwaza................nadhani wengi huitumia hivi.
 
Leo mtapatikana wengi sana....tuendelee...

Sweet Babu!!.......Mbona hivi? Mkoloni wako hatoi partenity nini ?....au wewe ni mmoja wa wale ambao huwa mnasubiri bado mwiezi miwili mama ajifungue basi unamsafirisha mndeny akajifungulie kule...kama ni ndio basi obviously huweziona umuhimu wa hii kitu aisee
 
Acid!!! baeleze baelewe......paternity leave sio ya kwenda kushinda mjengoni mara baa.....u need to be available for mama na mtoto
 
boraa mjikumbushe maana wengine wanafikiri ndo wakati wa kupiga simu kueleza jinsi gani walivyo vidume wakati huko home wenzi wao hata hawajui wanatakiwa wale nini mi sijui huwa ni malezi au mitabia tu ya watu halafu thubutu kuuliza uone kama maziwa hayajakata utaratibu uwe na kiakiba chako ukiona vinagoma usiache kula vizuri hawa viumbe mi sina cha kusema bwana
 
Chauro acha tu..... wangu alipewa wiki na akaitumia effectivly kwa lkuniliza nikiwa bado kitanda cha hospital na mshono wangu.... zilizobaki alinuna na kunifanyia action hadi nikajikuta namlaani alogundua partenity leave...........nilishusha pumzi zilivyoisha
 
sie tunapewa six working days, wengine siku tatu
au sio mpwa?

Mpwa kwa mujibu wa ELRA 2004 ni siku 3 tu

Sasa siku 3 mpwa hazitoshi hata nyie hizo 6 days kwa kweli hazitoshi angalau iwe kama 30days

Ukipewa 30days mbona mama na kichanga watafrahi maana unakuwa unawajibika haswaa home mitori usafi na kila kitu ni wewe tu
 
Bro Acid umenifungua macho kwa kiasi kikubwa sana I am expecting to be called a father ndani ya miezi miwili toka sasa my second born so ni swala la utekelezaji coz with my first born nilibaki kumshangaa mtoto badala ya kushughulika na mama.
 
Mpwa kwa mujibu wa ELRA 2004 ni siku 3 tu

Sasa siku 3 mpwa hazitoshi hata nyie hizo 6 days kwa kweli hazitoshi angalau iwe kama 30days

Ukipewa 30days mbona mama na kichanga watafrahi maana unakuwa unawajibika haswaa home mitori usafi na kila kitu ni wewe tu
kweli kabisa kazin

hoja yangu ni zaidi ya siku tatu, ingawa thre three days could be vital

tusikimbie jukumu kubwa tulilo nalo mkuu.... Vipi na wikendi si inaweza kuwa poa kusaidia ati?
 
Sweet Babu!!.......Mbona hivi? Mkoloni wako hatoi partenity nini ?....au wewe ni mmoja wa wale ambao huwa mnasubiri bado mwiezi miwili mama ajifungue basi unamsafirisha mndeny akajifungulie kule...kama ni ndio basi obviously huweziona umuhimu wa hii kitu aisee
mj1 vipi na hiyo avatar?
 
acha MJI kama huna ka akiba chako nakwambia waeza kuta unatoka ndani na magonjwa mengine wengine izi likizo sidhani kama hata wanatakiwa wapewe

Chauro acha tu..... wangu alipewa wiki na akaitumia effectivly kwa lkuniliza nikiwa bado kitanda cha hospital na mshono wangu.... zilizobaki alinuna na kunifanyia action hadi nikajikuta namlaani alogundua partenity leave...........nilishusha pumzi zilivyoisha
 
Ni wakati wa kukesha Bar kuepuka kelele za "kichanga" haafu mchana kutwa kushinda umelala - That is the BEST you can do in three days..

Trick ya hii likizo inabidi ichukuliwe ndani ya wiki baada ya Mama kujifungua - Na kwa utaratiu wa jamii zetu ndani ya wiki moja "kichanga" huwa kipo na Mama na extended Family uwa ipo around - Mama mkwe, Shangazi, Dada, e.t.c!
 
Mpwa kwa mujibu wa ELRA 2004 ni siku 3 tu

Sasa siku 3 mpwa hazitoshi hata nyie hizo 6 days kwa kweli hazitoshi angalau iwe kama 30days

Ukipewa 30days mbona mama na kichanga watafrahi maana unakuwa unawajibika haswaa home mitori usafi na kila kitu ni wewe tu

izo 3days zinawatosha kabisa ukizingatia wengi wenu hawajui maana ya izo siku, sanasana ndio atakuwa amepata muda wa kufanya mambo mengine.
 
Back
Top Bottom