PART ONE: Chanzo cha Mvutano wa Kisiasa Arusha kati ya CCM & CHADEMA

Sasa mlianzisha vyama vingi vya nini sasa kama Hamtaki kukubali Kushindwa? Kwamba hata ikibidi Damu imwagike lazima Mtawale Arusha?

Mkuu achana na huyu jamaa ana hoja ni ubishi tu na ma reference ambayo ayalengi hoja ( narudi tena lema arusha ni ukombozi na mwiba wa mafisadi/lowasa)
 
Sasa mlianzisha vyama vingi vya nini sasa kama Hamtaki kukubali Kushindwa? Kwamba hata ikibidi Damu imwagike lazima Mtawale Arusha?

Mkuu achana na huyu jamaa hana hoja ni ubishi tu na ma reference ambayo ayalengi hoja ( narudi tena lema arusha ni ukombozi na mwiba wa mafisadi/lowasa)
 
Kigoma na Moshi zilikuwa chini ya Upinzani for long time uliona hayo mauza uza ya sasa ya Arusha... Taifa, sera au mfumo wa vyama vingi hauna issue tatizo ni mshikaji wenu! When I was there we used to call Arusha, Geneva of Africa b'se of peace and tranquility, can any one dare to say so today???. Zitto Kabwe is among the most successful in bringing change (development) in his constituent ulisikia watu wake wakipigana virungu na Polisi. Moshi is the most successfully municipal under Ndesaburo ulisikia fujo hata huko?

Wote CDM ndani ya mfumo wa vyama vingi? So please don't blame vyama au mfumo tatizo linaeleweka ...,

Tangu Nasari awe Mbunge Arumeru Mashariki ameitisha maandamano mara ngapi kwenye jimbo lake? Mbona wote hawo hawana hayo matatizo?

Jibu hoja acha vioja na reference ambazo kiuhalisi azi sound kabisa......na arusha kwasasa ilivyo.
 
Dr ndio chaguo la vijana na wazee wa Tanzania kwa sasa kwan yy atosha 1, amewakaba magamba mpaka wameshindwa kupumua wanapumilia mashine 2:ni tishio kwa wale wanosaini mikataba isiyokuwa na tija kwa nchi yetu!! ,,,,nk
 
Nina uhakika naweza kukulisha wewe na maisha yako yote kwa jasho langu... Ni upuuzi kudhani kama hauko CDM uko CCM... Ni upuuzi kushindwa kujua kwamba kuna wananchi huru! Miongoni mwao ni mimi!
Unatakiwa uelewe chama chochote hakimfanyi mto kuwa tajiri... Ni jasho lako tu ndio linakufanya uwe tajiri... Kinachohitajika ni amani ufanye kazi zako bila bughudha.

Huna lolote gamba la kutupwa wewe, tuache sisi na nchi yetu, nyie wasomali mliokuja kutuibia lazima tuwanyonge 2015
 
Correction: I said LEMA not CDM! CDM is in Moshi, Karatu etc but there is no any danger to peace and harmony. Hence, in Arusha... Initiater and maintainer of the situation is LEMA. The rest is rubish!

Jibu hoja gamba wewe, maelezo ya kwenye thread yapo clear huna hoja kunja mkia wako wa CCM unyamaze.
 
Assume ni kweli... Ingawa issue ya dry cleaner ni ya zaidi 15 years ago. Do ypu know the cost of making the whole city not working for fully day?
Mbona halmashauri ya Karatu ilikuwa na ufisadi lakini hakuna maandano yaliyotokea? It is enough people depend on daily activities to feed their family and school fees.... Hoby zenu za maandamano zisiwaathiri watu wasio husika.

Usitutoe kwenye mada gamba wewe, jibu hoja za thread, mnatuibia mchana kweupe halafu mnataka tunyamaze, mashetani wakubwa nyie.
 
Kigoma na Moshi zilikuwa chini ya Upinzani for long time uliona hayo mauza uza ya sasa ya Arusha... Taifa, sera au mfumo wa vyama vingi hauna issue tatizo ni mshikaji wenu! When I was there we used to call Arusha, Geneva of Africa b'se of peace and tranquility, can any one dare to say so today???. Zitto Kabwe is among the most successful in bringing change (development) in his constituent ulisikia watu wake wakipigana virungu na Polisi. Moshi is the most successfully municipal under Ndesaburo ulisikia fujo hata huko?

Wote CDM ndani ya mfumo wa vyama vingi? So please don't blame vyama au mfumo tatizo linaeleweka ...,

Tangu Nasari awe Mbunge Arumeru Mashariki ameitisha maandamano mara ngapi kwenye jimbo lake? Mbona wote hawo hawana hayo matatizo?

Unatoa analysis zisizo na kichwa wala miguu, sio kila ukimya ni amani wewe. Fujo za Arusha zinaanzishwa na mwenyekiti wako wa chama na genge lake la wapora nchi, si ajabu na wewe ni mmojawapo.

Yale mabomu ya juzi na risasi walizokuwa wanapiga poliCCM waliagizwa na Lema, lazima mtaingia jela wezi wakubwa nyie.
 
This fact is clearly known, u don't need any emphasize on it ... We have peacefully and performing municipals e.g. Kigoma, Kasulu, Moshi, Rombo etc...

But similarly we have poor managed city Arusha, Mwanza and Mbeya! Kila cku maandamano.

Maandamano hayaleti umasikini, sera mbovu za CCM na wizi wa mali za umma ndio unaoleta umasikini, usifikiri kila mtu ni mbumbumbu humu. Misri wamefanya maandamano for the last three years tuambie ni kwa kiasi gani mmewafikia kiuchumi.
 
Mimi nina shida na hapa, hiki Kiwanda kiuzwe mpaka hawa watie sahihi??? What for???
TATIZO

  • Ilikiuzwe anatakiwa DED, Meya na Mbunge wa arusha mjini walidhie na kuwekwa sahihi ya uuzaji (LEMA HASINGEWEZA KUWEKA SAHIHI- NDIO TATIZO KUBWA)
 
Maskini ni maajabu kutoa mfano wa Misri. Taifa hili ambalo lilitumiwa kama best practices na chama fulani in 2010 liko almost linaelekea kuwa among failed states. Tatizo hamsomi dunia inavyoenda Misri hali ni mbaya! Kwa nini imefikia hapo unajua vizuri... Make informed decision sio kufanya kama fashion... Kwanini chama cha upinzani kimekaa madarakani miezi isiyozidi 14... It is b'se they were not prepared... Achani kupiga makelele bila kuelewa... Wenzako kila maandamano yuko kazini analipwa wewe?

Bingwa wa Kukosoa sio Lazima akipewa Madaraka awe anaweza... Egypt is a clear example soma ujue dunia inavyoenda magazeti ya udaku ndio yanaweza Egypt is doing good sio serious media.
 
Mimi nina shida na hapa, hiki Kiwanda kiuzwe mpaka hawa watie sahihi??? What for???
TATIZO

  • Ilikiuzwe anatakiwa DED, Meya na Mbunge wa arusha mjini walidhie na kuwekwa sahihi ya uuzaji (LEMA HASINGEWEZA KUWEKA SAHIHI- NDIO TATIZO KUBWA)

Ati kampuni liko chini ya CHC... Mbunge na Mkurugenzi anahusika je yaani Wabongo kwa Udaku! Mbunge ni mhimbili mwingine tangu lini akawa kwenye utendaji haya mabandiko yenye makengeza haya.
 
Kasheshe; Ni kweli kabisa mkuu, tatizo la Arusha ni Mhe.Godbless Lema kwani hataki kuona matumizi mabaya ya fedha za umma kama watakavyo CCM, hapendi kuona ufisadi unagusa mikono yake na kamwe hawezi kuwasaliti wananchi wa Arusha kwa kigezo cha kutaka utajiri.
 
Last edited by a moderator:
Kasheshe; Ni kweli kabisa mkuu, tatizo la Arusha ni Mhe.Godbless Lema kwani hataki kuona matumizi mabaya ya fedha za umma kama watakavyo CCM, hapendi kuona ufisadi unagusa mikono yake na kamwe hawezi kuwasaliti wananchi wa Arusha kwa kigezo cha kutaka utajiri.

Safi sana! Kwa hiyo Dr. Slaa. Mbowe, Nasari, Vicent, Kafulila, Moses, Halima, etc wao hawachukii ufisadi eeeh! Aiseee this is simply rubish... Maana kwao hamna maandamano... Au halmashauri zao zote zina viongozi na wafanyakazi malaika eeeh!

Kwa taarifa yako ni Zitto tu ndiye hapokei fedha za vikao vya Bunge the rest wanachichia....
 
Safi sana! Kwa hiyo Dr. Slaa. Mbowe, Nasari, Halima, etc wao hawachukii ifisadi eeeh! Aiseee this is simply rubish... Maana kwao hamna maendeleo...

Kamanda Godbless Lema ndiye kiboko yenu magamba. Kila mkimuona ama kumsikia tu mnajikuta vinyesi vinagonga chu.pi zenu. Hebu mwenyewe jionee ulivyoshika lindo tangu asubuhi kwa sababu tu jina la Lema limetajwa hapa.
 
Wakati mwingine tuweke uchama pembeni tuangalie utaifa kunawatu ni hatari sana kwa ustawi wa inchi swali NIKWANINI MWL. NYERERE ALIEKUA MWANACCM MWENYEKADI NO 1 ALITAMKA WAZI HADHARANI KUA LOWASA HAFAI ?Sasa leo kinda marimbukeni wa siasa mnashindwa kuukubari ukweli nanianaijua ccm na watendaj wake kama mw. Nyerere? mnatia hasira watu ndugu zetu waliokua wanatusaidia wanadai mpaka leo pesa zao ktk kiwanda hicho haraf mwingine usiejua kitu unakuja kumsifu lowasa eti kisa baba ako anapewa posho na huyo mtu mbavvvvv sanaa
 
Lowasa ni tishio. na anapambana kwa udi na uvumba ili awe rais sijui ni target gani ameiweka akishakuwa rais! si ajabu kuiuza nchi nzima.

Kuna hatari ya kuja kupata Raisi shoga endapo waTz hatutaamka na kuupigania ukombozi wa kweli mapema.
 
Mimi nina shida na hapa, hiki Kiwanda kiuzwe mpaka hawa watie sahihi??? What for???
TATIZO

  • Ilikiuzwe anatakiwa DED, Meya na Mbunge wa arusha mjini walidhie na kuwekwa sahihi ya uuzaji (LEMA HASINGEWEZA KUWEKA SAHIHI- NDIO TATIZO KUBWA)

Ni hivi kiwanda ni mali ya jiji la arusha... uzaji lazima kikao cha madiwani walidhie then watu hao ndio watakao wawakilisha kwenye uzaji..... (ref UDA)
 
Back
Top Bottom