We’re on the same page Mkuu. Kumbuka pia zile kesi za kulawiti USA na Europe.
Ipi mkuu?Nawazaga sana uhalali Wa dini hii ya upande Wa pili
You are absolutely right Mkuu. These issue should be private matters. It is very difficult to force youngmen and young women to live without sex for 10, 20, 30, or 40 years while they still have sexual needs. What normally happens is that they take advantage of situation, of their power and authority to have sex most of the times against young people and people under their authority.
Kumbe inadhihirisha amri ya kutokuoa mapadri si ya kwenye biblia....View attachment 623282
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amependekeza kubadili mfumo wa utumishi wa mapadre akisema itakuwa vyema iwapo makasisi hao wakaruhusiwa kuanza kuoa.
Hata hivyo, imefahamika kuwa pengine pendekezo hilo likawaruhusu mapadre wa Brazil pekee kutokana na mjadala unaoendelea nchini humo. Hivi karibuni Askofu wa Brazil, Kadinali Claudio Hummes alimwomba Papa Francis kufikiria kuondoa sheria inayowakataza makasisi kufunga ndoa.
Ingawa pendekezo hilo la Papa Francis huenda likapunguza tatizo la uhaba wa wanaume wanaojiunga kwenye utumishi huo, lakini linatarajiwa kukabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa waumini wenye msimamo mkali na hata pia kusababisha mgawanyiko ndani ya kanisa.
Ombi hilo linatarajiwa kujadiliwa katika kikao cha baraza la kanisa kinachotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu nchini Brazil.
Kanisa Katoliki linahubiri mafundisho ambayo yanapiga marufuku makasisi wake kufunga ndoa ingawa kumekuwa na baadhi wanaovunja mwiko huo na kuisha maisha ya ndoa. Hata hivyo, wale wanaochukua uamuzi huo hujitenga na kanisa.
Kasisi moja aliyetambulika kwa jina la Paddy O’Kane amenukuliwa na baadhi ya magazeti akielezea uwezekano wa Papa Francis kuchukua uamuzi wa kuwafungulia mapadre kifungo cha kutokua wakati wowote mwezi huu.
“Hivi karibuni nilimsikia Papa anataka kutekeleza ombi alilolipata toka Brazil kama jaribio lake la kwanza,” alisema.
Papa Francis na mtangulizi wake, Benedict XVI wamekuwa wakieleza kuwa suala la makasisi kutoruhusiwa kuoa siyo jambo lisiloweza kubadilika na kwamba jambo hilo linajadilika.
Chanzo: Mwananchi
Mkuu hii hbr unaiamini lkn..???Haiwezekani...
Wakiruhusiwa kuoa itakuwa ndo mwanzo na mwisho wa nguvu ya kanisa katoliki! Imagine Padri anaondoka mwezi mzima kuuguza mtoto wake,wakati anakaribia kurudi mke naye kaumwa analazimika kubaki! Huduma za kanisa za kila siku nani atafanya?? Wahitaji kuwa mkatoliki kujua ubusy wa Padri!
Itakuwa vyema maana wqnahangaika kuibaiba mitaaniView attachment 623282
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amependekeza kubadili mfumo wa utumishi wa mapadre akisema itakuwa vyema iwapo makasisi hao wakaruhusiwa kuanza kuoa.
Hata hivyo, imefahamika kuwa pengine pendekezo hilo likawaruhusu mapadre wa Brazil pekee kutokana na mjadala unaoendelea nchini humo. Hivi karibuni Askofu wa Brazil, Kadinali Claudio Hummes alimwomba Papa Francis kufikiria kuondoa sheria inayowakataza makasisi kufunga ndoa.
Ingawa pendekezo hilo la Papa Francis huenda likapunguza tatizo la uhaba wa wanaume wanaojiunga kwenye utumishi huo, lakini linatarajiwa kukabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa waumini wenye msimamo mkali na hata pia kusababisha mgawanyiko ndani ya kanisa.
Ombi hilo linatarajiwa kujadiliwa katika kikao cha baraza la kanisa kinachotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu nchini Brazil.
Kanisa Katoliki linahubiri mafundisho ambayo yanapiga marufuku makasisi wake kufunga ndoa ingawa kumekuwa na baadhi wanaovunja mwiko huo na kuisha maisha ya ndoa. Hata hivyo, wale wanaochukua uamuzi huo hujitenga na kanisa.
Kasisi moja aliyetambulika kwa jina la Paddy O’Kane amenukuliwa na baadhi ya magazeti akielezea uwezekano wa Papa Francis kuchukua uamuzi wa kuwafungulia mapadre kifungo cha kutokua wakati wowote mwezi huu.
“Hivi karibuni nilimsikia Papa anataka kutekeleza ombi alilolipata toka Brazil kama jaribio lake la kwanza,” alisema.
Papa Francis na mtangulizi wake, Benedict XVI wamekuwa wakieleza kuwa suala la makasisi kutoruhusiwa kuoa siyo jambo lisiloweza kubadilika na kwamba jambo hilo linajadilika.
Chanzo: Mwananchi
AISEE WAOE TU ILA NAWAONEA HURUMA SANA WANA PAROKIA NA MAKANISA YAO.MAANA SASA WATALISHA FAMILIA YA PADRI,WAKWE ZAKE NA NDUGU WENGINE WATAJAZANA PALE.
Iliwekwa kwenye kitabu ganiIvi ni kweli sheria iliyowekwa na MUNGU mwanaadam anaweza akaifuta?
Ubakaji utaongezeka wakionja ladha ya msisimko na mimba kuongezeka parokian na majimboni.. Ila itakuwaje kwa wale ambao umri umeenda watakubaliwa na nani ?
Haiwezekani...
Kwani lutheran na wengine wanafanyaje mkuu, mbona kawaida tu wanahudumu na wanajenga familiaWakiruhusiwa kuoa itakuwa ndo mwanzo na mwisho wa nguvu ya kanisa katoliki! Imagine Padri anaondoka mwezi mzima kuuguza mtoto wake,wakati anakaribia kurudi mke naye kaumwa analazimika kubaki! Huduma za kanisa za kila siku nani atafanya?? Wahitaji kuwa mkatoliki kujua ubusy wa Padri!
Ivi ni kweli sheria iliyowekwa na MUNGU mwanaadam anaweza akaifuta?
nitashangaa sana na hili haliwezi kutokea