mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,046
Asilimia 90 uchumi wa Tanzania upo mikononi mwa wahindi huo ndiyo ukweli.
Viwanda, Makampuni makubwa, mabenki, wafanyabiashara wakubwa, karibia wote ni wahindi.
Hawa wameanza kukusanya pesa ya halal na halam toka enzi ya mkoloni.
Ukweli ni kwamba tusipo badilisha mifumo ya kiuchumi na utawala au tusipo rekebisha mifumo ya uwekezaji tutabaki tunapiga kelele tu.
Ni dhahiri kwamba hawa mafisadi tunawapa kipaombele tena kuwasujudu matokeo yake wanachuma utajiri mkubwa alafu fedha zetu baadala ya kuzunguka hapa nchini zinakwenda kufichwa huko nje.
Bado sijaona nia ya dhati kwa serikali yetu katika kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa watanzania kwanza mgeni baadae.
Tunasema Tanzania ya viwanda huku tukimjali mgeni hata kwenye baadhi ya sekta ya viwanda ambayo ipo ndani ya uwezo wetu kweli tunajidanganya sisi wenyewe.
Tanzania ijayo ya viwanda bado ninaona nitanzania itakayo kwenda kuliwa vizuri na hawa mafisadi kwa kuwa hata sera zetu hazipo madhubuti ama hazitotekelezwa kwa ukamilifu