Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

Masikini humchukia tajiri siku zote
Fanyeni kazi chuki zenu juu ya wahindi si nzuri
kazi kweli kweli, hujui hata haki yako kama raia. sio haki raia wa nje ku-exploit uchumi wako. unahita unyonyaji wa raslimali chuki. tembea uone nchi zinazolinda raslimali zao ndo utajua hao wahindi unao watetea wana nafasi gani.
 
Tumeziona,.........lakini tujijuze kwa asili ya wengi waliotajwa. Sisemi sana msjie mkaniita m-baguz.
N:B Uzalendo wao uko wapiiii?
 
Kuna mijitu inawatetea au yenyewe nayo ni ya asili ya Asia inajitetea eti kuwasema ni ubaguzi. NO! Hawa wanaojiita waTZ wenye asili ya Asia ni tatizo kwa nchi za Afrika mashariki. Kenya tatizo, Uganda tatizo na Tz ni tatizo letu pia.

Tunaishi nao lakini hatustahili kuwapa umuhimu kwa maendeleo ya nchi hii.

Haya madubwasha ni ya kuondolewa hapa nchini haraka iwezekanavyo......haya manufaa kwa taifa zaidi ya hasara na kuliangamiza taifa.....hawa ni zaidi ya kupe....
Huko kwenye viwanda vyao kazi yao ni kuwanyanyasa waTz ambao wanasema kuwa ni wenzao.....huko madukani kwao mambo ni hayo hayo......
Nasema waondolewe tu.....
 
Wana kila sifa zakua wahujumu uchumi. Maamuzi ya sukari yachukue nafasi yake.
 
Usijumuisheeeeeeeee (sema muhindi kwa jina lake) WEWE utaridhika wafunguwa au wahalifu waliomo GEREZANI ni waAfrika !! halafu aje mtu aseme WAAFRIKA wote ni ........... !!!
Hebu tumia akili ndugu !!!

rejea kampeni za Rais mtarajiwa wa USA TRUMPH !!!!!! kuhusu waafrika..
Mbona unagangamala sana?utachana suruale
 
Majina ni ya watu wa mataifa mbilimbali wanaojimbandika uraia wa tanzania. Yaani huwa sioni faida yao. wanatudharau, wanatunyanyasa, wanatuibia! sasa nini maana yao. warudishwe kwao
 
Kwani kuna haramu mfanyabiashara kujiwekea akiba zake nje ya Tanzania?

Hata mimi nna account nje ya Tanzania kwa miaka zaidi ya 30.

Tatizo ukiona kuna mwanasiasa hajawahi kuwa mfanya biashara na ana mifedha kibao nje.

Lakini kwa watu kama kina Rostam, Manji, na wengine wa caliber hiyo ni kawaida sana. Licha ya kuwa na fedha tu nje mbona kuna Watanzania wengi sana wafanyabiashara kubwa kubwa na ndogo ndogo wana miradi na wamewekeza nje ya Tanzania?
Hata mbowe anayo, kama wamefata utaratibu hakuna shida.
 
Hawa wahindi wanatumalizia nchi kabisa.
Mkuu USIJUMUISHE......
Usijumuisheeeeeeeee (sema muhindi kwa jina lake) WEWE utaridhika wafunguwa au wahalifu waliomo GEREZANI ni waAfrika !! halafu aje mtu aseme WAAFRIKA wote ni ........... !!!
Hebu tumia akili ndugu !!!

rejea kampeni za Rais mtarajiwa wa USA TRUMPH !!!!!! kuhusu waafrika..
 
Hilo ndio tatizo la baadhi watanzania ni watu wa kukurupuka na wanaendeshwa kwa mihemko. Panama papers wenyewe wanasema sio kila aliyetajwa ana makosa wengine wameweka hela zao kihalali ni kazi ya mamlaka husika kuchunguza na kubaini makosa. Hata familia ya David Cameroon imeweka hela panama lakini haikuvunja sheria. Mtu kama manji au rostam wanabiashara dunia nzima watakosaje kuwa na akaunti nje tena sehemu mbalimbali? Tuache ubaguzi wa ki nazi.
Wote wanaotoa mapovu hapa hawana vision mawazo yao yanawatuma kuwa ukiwa na account nje ya nchi basi wewe ni mwizi.
 
Mkuu USIJUMUISHE......
Usijumuisheeeeeeeee (sema muhindi kwa jina lake) WEWE utaridhika wafunguwa au wahalifu waliomo GEREZANI ni waAfrika !! halafu aje mtu aseme WAAFRIKA wote ni ........... !!!
Hebu tumia akili ndugu !!!

rejea kampeni za Rais mtarajiwa wa USA TRUMPH !!!!!! kuhusu waafrika..
Vipi, mbona povu! Kya hua? Uska dosian? Kuch nehi? Kya bola?
 
Ni kwel unaeza fanya hvyo lakini bila kificho. Sasa hawa wamefanya kwa kuficha ndo maana wameekwa hadharani na panama papers. So wamekwepa kodi kubao.
Hivi ulishawahi kuona mtu anapopeleka pesa benki anatangaza hadharani? Hebu nijaribu na wewe, lini unapeleka pesa zako benki? Alafu utapeleka sh ngapi? Alafu utapitia njia gani?
Tuache mihemko sio kila anaetunza pesa zake nje ya nchi ni mwizi. Kuna mambo yatakulazimisha huwe na account nje.
 
Wote wanaotoa mapovu hapa hawana vision mawazo yao yanawatuma kuwa ukiwa na account nje ya nchi basi wewe ni mwizi.
Hatukatai kuwa na account nje lakini kwanini utumie Offshore accounts ambazo ni akaunti za fedha za wizi ambazo hukwepa kodi,wengi tu wana akaunti kwenye mabenki ya nje lakini iwe akaunti ambazo si za kificho,hata mbeba box ana akaunti nje lakini ndio maana hatuwaoni kwenye List of Shame ya Panama Paper ,huko majuu kuna viongozi wameachia madaraka kwa kuhodhi fedha kwenye Offshore accounts au umeshahau ya mzee wa Vijisenti,wakati mwingine tumieani busara kidogo kuliko kuhemuka tu kujibu mada mbalimbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom