Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Tukio la hivi karibuni mtaani kwetu ambapo jamaa mmoja alimfumania wife wake 'akimega mkate' na kijana mmoja kinyozi limekuwa ni muendelezo wa matukio ya wake za waume wenye ajira nzuri, pesa na familia bora kukutwa na vijana wasioweza hata kulinganishwa nao kimaisha.
Kilichonigusa ni pale kijiweni vijana walikuwa wanasema hawa wanaume wanasaidiwa kutokana na mfumo wao wa maisha, kupenda vitu soft na kujikuta hata kwenye majamboz kiwango kinashuka.
Walinimaliza pale kijana mmoja aliposema ....'Bro unadhani pampu ya Chipsi ni sawa na pampu ya Ugali'?...