Pale askari anapochezea mfuwenii

Ukilijua hili neno HUWEZI KUWA SHUJAA SIKU ZOTE, na hili HUNA SABABU YA KUONYESHA USHUJAA WAKO MUDA WOTE PALE, hakika hautakuwa na mhemko wa kuchokoza ama kuchokozwa.

Nilishuhudia askari polisi akichapwa ngumi kama anafundishwa kazi vile. Nilishuhudia pia wale wababe wa 90's mbavu nene, akipigwa kama mtoto na msichana. Nilishuhudia pia baunsa anachapwa mateke ya shingoni na msichana tu.

Hivyo, ni kujiheshimu tu na kuangalia ustaarabu wa maisha. Jifunze ngumi kwa Defence na siyo kwa kuchokoza, maana siku utamchokoza mwalimu na ni raia.

Ahsante!
 
huyu sio askar hawez kulinda supermaker hawa ni wale wa makampuni ya ulinzi sawa . askari analinda na smg labda ktk kampeni za siasa ndio hawabebi silaha.
 
Duh,kipigo kitakatifu.Iwe fundisho kwa maaskari wengine wenye tabia kama hizo

Imezoeleka kuwa na ile hali ya maaskari kuonea wananchi hasa kutokana na wadhifa walionao katika jamii, tumeona migambo mara nyingi wakiwakorofisha wafanyabiashara wadogo wadogo bila sababu za msingi ikiwa mara nyingi ni ubabe tu..Hebu naombeni tujione pindi inapotokea hali kuwa tofauti inaweza kuwa vipi!


Huyu si askari huyu ni mlinzi.
 
masoja waoga sana akidundwa mmoja wanaenda kuchukuana kikosi kizima
Haya muulize huyu ndio anawajua askari
1468082425968.jpg
1468082459749.jpg
askari wakiwa kazini
1468082505131.jpg
usicheze na ukakamavu , mtavizia wazeee au walio lewa ndio raia wa kawaida ataweza kumpiga lakin sio timamu kama hawa
1468082580437.jpg


Hata askari magereza ndio maana wakapewa dhamana ya kulinda watu hatari wasiotakiwa uraiani
1468082623295.jpg


Polisi nao wapo vyema sana ila ukikuta mgonjwa mzeee au alie lewa ndio anaweza kuchapwa na raia wa kawaida
1468082830848.jpg
1468082837244.jpg
1468082843285.jpg
1468082847275.jpg

Mods rekebishen title andike mlinzi na si askari
 
Haya muulize huyu ndio anawajua askariView attachment 364626View attachment 364628 askari wakiwa kaziniView attachment 364629 usicheze na ukakamavu , mtavizia wazeee au walio lewa ndio raia wa kawaida ataweza kumpiga lakin sio timamu kama hawaView attachment 364630

Hata askari magereza ndio maana wakapewa dhamana ya kulinda watu hatari wasiotakiwa uraianiView attachment 364631

Polisi nao wapo vyema sana ila ukikuta mgonjwa mzeee au alie lewa ndio anaweza kuchapwa na raia wa kawaidaView attachment 364633View attachment 364634View attachment 364635View attachment 364636
Mods rekebishen title andike mlinzi na si askari
hakuna kitu hapo mazoezi ya kitoto hayo njoo dojo huku mtaani uone vijana wanavyocheza ma te kwondo guduruuu judo karate
 
Imezoeleka kuwa na ile hali ya maaskari kuonea wananchi hasa kutokana na wadhifa walionao katika jamii, tumeona migambo mara nyingi wakiwakorofisha wafanyabiashara wadogo wadogo bila sababu za msingi ikiwa mara nyingi ni ubabe tu..Hebu naombeni tujione pindi inapotokea hali kuwa tofauti inaweza kuwa vipi!


Tuonane dodoma , huwa wetu tutawaaa ..... Ngoja tu
 
Sioni sababu ya kumpiga ngumi nyingi hivi. Unamlega moja ya taya, anaenda chini, unakanyaga mfupa wa bega unavunja, unakanyaga mkono kwa miguu miwili unauvunja kwa mikono kama mua. Adamu mwanzo mwisho na kazi anaacha.
kwani amekuwa stunt coordinator awe organised kiasi hicho???
 
Hii imetokea south africa.huyo security ni mkongoman..uyo jamaa mcameroon.uo mjeledi alioshika security unaitwa SHAYA,kizulu maana yake PIGA. Enkosi.
 
Kwakweli jamaa hakumpa nafasi. Kamtandika haswa!

Mtaani kwetu kuna jamaa alikuwa mbavu nene...alikuwa anawatandika askari polisi sana tu. Ilifika hatua wakawa hawamsumbui hata kidogo.

Jamaa hakuwa mbishi hata kidogo bali alikuwa anawaambia wamshike kiustaarabu na siyo kupiga jeki na kutembelea vidole!
Huwezi tandika polisi wakaondoka wakaja kukufuta kistaarabu,unavyotaka wewe labda sio polisi ninaowajua mimi watakuua.nakwambia.
Polisi/wajeda wanapigwa sana Tanzania hii. Ila wanapigwa kama wao wakianza. Siyo rahisi kwa raia kumuanza polisi/mjeda.
Hii sana tu.ila hakikisha sio kwenu hapo hukanyagi mara kwa mara hayo maeneo na ufutike hapo muda huo huo.vinginevyo utajionea huruma.
 
Back
Top Bottom