Padri Damian Dulle: Kanisa Katoliki latoa wito wa kufufuliwa kwa mchakato wa katba mpya

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Wakubwa wameanza kunena ngoja tuone sasa itazaa matunda?.Good move kwa baraza la maaskofu.

0ecfbd10d7830b7ab0dd80a8b8ebf048.jpg
 
Waitishe maandamano kama Congo, hili baraza la maaskofu limekuwa kama tawi la mama Bisimba tu maneno kila siku bila vitendo au kwakuwa ni zamu ya John.
Kweli ni hatua nzuri ila waende mbali zaidi....watuongoze waumini wao tuandamane kwa amani maana ccm wanampango wa kubadiri katiba itakayowafanya watawale milele kwa mkono wa chuma.....
Nawapongeza sn maaskofu maana hii ni mara ya pili ndani ya kipindi kifupi wanaona namna mambo yalivo hovyo....waislamu ni kweli bakwata ni tawi la ccm?
 
Kanisa linatafuta ugomvi na Dikitekta uchwara, ngoja kwanza awatumie Uhamiaji na TRA. Wakishindwa hao watatumiwa watu wasiojulikana . Dikitekta anakila aina ya mbinu ya kuliangamiza hili Taifa yeye na Rafiki yake Uchwara Kagame
 
Katoliki ni zaidi ya wasiojulika waka tra
 
Kweli ni hatua nzuri ila waende mbali zaidi....watuongoze waumini wao tuandamane kwa amani maana ccm wanampango wa kubadiri katiba itakayowafanya watawale milele kwa mkono wa chuma.....
Nawapongeza sn maaskofu maana hii ni mara ya pili ndani ya kipindi kifupi wanaona namna mambo yalivo hovyo....waislamu ni kweli bakwata ni tawi la ccm?

BAKWATA NI ZAIDI YA CCM , HAO NI USALAMA WA TAIFA NA NI SEHEMU YA WATU WASIOJULIKANA
 
Kweli ni hatua nzuri ila waende mbali zaidi....watuongoze waumini wao tuandamane kwa amani maana ccm wanampango wa kubadiri katiba itakayowafanya watawale milele kwa mkono wa chuma.....
Nawapongeza sn maaskofu maana hii ni mara ya pili ndani ya kipindi kifupi wanaona namna mambo yalivo hovyo....waislamu ni kweli bakwata ni tawi la ccm?
Unamtafuta muislamu kilaza akuunge mkono?
 
Ilani ya ccm anayoisimamia Magufuli haina neno katiba mpya. Na wala yeye mwenyewe hakuwahi kuongelea mambo ya katiba kama mnakumbuka haikuwa na wala si kipaumbele chake. Bado hamuelewi tu! !aaAisee
 
Back
Top Bottom