padri anahtajka haraka!

mpoleeee

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
310
130
4giv me father i hav sinned. Nimetenda dhambi nahtaj padri mwenye upako niungame.

Bwana Yesu asifiwe.
 
Maungamo yapo kila baada ya misa ya asubuhi, au kama mgonjwa kitandani unahitaji padri ni kumpigia katekista amplete paroko nymbani kwako
 
The Finest nadhani ni padre. Ngoja assistant wake aje atakuletea, ila huwa hatubishi umeme ukiwepo
 
Najuta mimi kukimbia seminari, sasa ivi ningekuwa nakuungamisha weee mpaka uchoke
 
Back
Top Bottom