padri anahtajka haraka!

Roho wa Bwana amesema nami kuwa alikuja kwako kupitia mjumbe wake mwenye Gx 100 nawe ukamdhalilisha humu jamvini......
 
Haya hapo nachukua umekubali nusu.. Hiyo inanitosha kwa sasa..
Vipi lakini bado tunaenda kule maeneo .. ?

Tufanye robo.

Yeahhh. . . sema tar mpaka niweke kila kitu sawa. Kuna ticket nimeona bei ya kutupwa kabisa.
 
Tufanye robo.

Yeahhh. . . sema tar mpaka niweke kila kitu sawa. Kuna ticket nimeona bei ya kutupwa kabisa.

sijaridhika na robo ..

Naenda kule mitaa baada ya dakika 20 ..
Nikirudi tukutane basi pale mahali unipe story zaidi..
waonaje??
 
sijaridhika na robo ..

Naenda kule mitaa baada ya dakika 20 ..
Nikirudi tukutane basi pale mahali unipe story zaidi..
waonaje??
Basi robo jumlisha na nusu ya robo nyingine.

Ayyyyt. . . .ukifika nishtue.
 
Basi robo jumlisha na nusu ya robo nyingine.

Ayyyyt. . . .ukifika nishtue.

ahhhhhh Bana mi nachukua yote..

Haya basi ntafanya hivyo 9.30pm itakuwa.. ( you know what I mean) .. :poa
usipotee sawa ae..
 
Back
Top Bottom