Padre Beatus Christian Urassa wa Shirika la ALCP/OSS Ateuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga

Tuwe wakweli hapa bila kumumunya maneno. Wachaga wengi ni washika dini wazuri mno na wachapakazi. Kichwani wako Fiti na wakikaa huko kwenye upadre wanasoma PhD kabisa za mambo yao ya dini na ya elimu dunia hasa waalimu wa Seminary na KUENDELEA. Taifa la wachaga siyo la mchezo ndiyo maana mnawaogopa. Kukosekana kwao kunaonesha kabisa tumepwaya. Hongereni mno shemeji zangu wachaga. Mmenipa mke. She has transformed my life and that of my family.
 
Sio Jesuit ni Fransican

Kweli mkuu shirika lao linaitwa O.F.M.cap.. Maaskofu wanaotokea katika shirika hili ni Askofu Ruwa"ichi na Kinyaiya wa jimbo kuu la Dodoma. O.F.M,cap means The Order of Friars Minor Capuchin. Wanaitwa wa Franciscan kwa sababu mwanzilishi wao ni Francis wa Assis

The Order of Friars Minor is a mendicant Catholic religious order, founded in 1209 by Francis of Assisi. The order adheres to the teachings and spiritual disciplines of the founder and of his main associates and followers, such as Clare of Assisi, Anthony of Padua, and Elizabeth of Hungary, among many others.
 
Shio = Zanzibar Shirika la Holy Ghost Fathers
Minde = Kahama Shirika la OSS/ALCP
Mlola =Kigoma Shirika la la OSS/ALCP
Kati ya hao Maaskofu 8 wote sio wa jimbo la Moshi ila ni wachaga. Ni mapadre wa mashirika. Hiyo maana yake mapadre wengi wa majimbo hawana sifa hasa za kimaadili. Maana sifa za jumla ni 1. Upadre walau wa miaka mitano 2. Elimu walau Shahada ya Pili
Mapadre watakosaje sifa za kimaadili mkuu?
 
Maaskofu wahehe
1. Tarcisius Ngalalekumtwa-Iringa
2. Paschal Kikoti-Mpanda---Deceased
3. Damian Dallu-Songea
4. Evaristo Chengula-Mbeya
5. Norbert Mtega-Songea--Retired
6. Askofu Maluma-Njombe
7. Castorl msema-Tunduru Masasi---Deceased
8. Mwalunyungu-Tunduru Masasi---Deceased
Hapo number 6 ni Maruma au Maluma?
 
Mungu akutie nguvu baba Urassa katika huduma yako huko Ufipani.
Hawa jamaa wana ukabila, unafiki na wivu wa hali ya juu.
Nilisikia miaka hiyo baba Ngalalekumtwa alipata wakati mgumu sana. Watu wengi hutamani mtu toka kabila lao.
ngalalekumtwa alipata wakati mgumu kwa sababu alikuwa chini ya askofu Msakila ambaye naye alikuwa mtata mtata sana. Waumini wa huku hawana shida, labda atapata shida kutoka kwa mapadri wazawa.
 
Tuwe wakweli hapa bila kumumunya maneno. Wachaga wengi ni washika dini wazuri mno na wachapakazi. Kichwani wako Fiti na wakikaa huko kwenye upadre wanasoma PhD kabisa za mambo yao ya dini na ya elimu dunia hasa waalimu wa Seminary na KUENDELEA. Taifa la wachaga siyo la mchezo ndiyo maana mnawaogopa. Kukosekana kwao kunaonesha kabisa tumepwaya. Hongereni mno shemeji zangu wachaga. Mmenipa mke. She has transformed my life and that of my family.

Mimi sio mtu wa Kaskazini ila kwa uzoefu wangu ni kua Kilimanjaro mashirika mengi ya umisionari yalianzia huko na hayo ndo yaliyopelekea kufungua shule nyingi sana za seminari na za kawaida. Ukiangalaia hata mapadre wengi kutoka Kilimanjaro walioteuliwa katika nyadhifa za uaskofu wametoka katika mashirika ya wamisionari. Wakati wa kumsimika Askofu wa Arusha nilimsikia askofu anayeondoka akisema kua jimbo la Arusha lina mashirika zaidi ya 23 ya kitawa ya wamisionari nikiangalia mm jimboni nakotokea sidhani hata kama 10 yanafika
 
ngalalekumtwa alipata wakati mgumu kwa sababu alikuwa chini ya askofu Msakila ambaye naye alikuwa mtata mtata sana. Waumini wa huku hawana shida, labda atapata shida kutoka kwa mapadri wazawa.

Waumini wa Sumbawanga walimpenda sana Ngalalekumtwa hiyo ndo ilimpelekea Msakila kuchukia kuona msaidizi wake anapendwa hivyo.
 
Mimi sio mtu wa Kaskazini ila kwa uzoefu wangu ni kua Kilimanjaro mashirika mengi ya umisionari yalianzia huko na hayo ndo yaliyopelekea kufungua shule nyingi sana za seminari na za kawaida. Ukiangalaia hata mapadre wengi kutoka Kilimanjaro walioteuliwa katika nyadhifa za uaskofu wametoka katika mashirika ya wamisionari. Wakati wa kumsimika Askofu wa Arusha nilimsikia askofu anayeondoka akisema kua jimbo la Arusha lina mashirika zaidi ya 23 ya kitawa ya wamisionari nikiangalia mm jimboni nakotokea sidhani hata kama 10 yanafika
Ukweli kabisa Mkuu. Halafu makanisa ni mengi pia. Familia nyingi kuna massta na mapadre mmoja hata zaidi. Ila pia uchapakazi wao siyo wa kulinganisha.
 
Waumini wa Sumbawanga walimpenda sana Ngalalekumtwa hiyo ndo ilimpelekea Msakila kuchukia kuona msaidizi wake anapendwa hivyo.
Exactly,,,,,,,,,,,nakumbuka tulimpokea vizuri tu lakini hakukaa muda mrefu sana akahamishiwa Iringa. Watu walikuwa wamemchoka Msakila na "ubabeubabe" wake :D
 
Mimi sio mtu wa Kaskazini ila kwa uzoefu wangu ni kua Kilimanjaro mashirika mengi ya umisionari yalianzia huko na hayo ndo yaliyopelekea kufungua shule nyingi sana za seminari na za kawaida. Ukiangalaia hata mapadre wengi kutoka Kilimanjaro walioteuliwa katika nyadhifa za uaskofu wametoka katika mashirika ya wamisionari. Wakati wa kumsimika Askofu wa Arusha nilimsikia askofu anayeondoka akisema kua jimbo la Arusha lina mashirika zaidi ya 23 ya kitawa ya wamisionari nikiangalia mm jimboni nakotokea sidhani hata kama 10 yanafika
Kuna majimbo mengine nadhani kuna mashirika hata hayazidi 2.......
 
yamkini kuna tatizo la wenyeji maana huyu aliyechukua nafasi ya askofu mkuu wa jimbo la Arusha kuna wakati aliwahi kusimamia hapo ila hakupokelewa vizuri sana
Mbulu kuna tatizo kubwa sana inaonekana, maana kuna nyuzi humu zilikuwa zinaletwa kuhusiana na ishu ya uaskofu hapo, wakichafuliwa baadhi ya watu wanaofikiriwa kuwa wanaweza kupewa uaskofu wa jimbo hilo.
 
Back
Top Bottom