Padre aitaka ccm ijiandea kuondoka madarakani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Padre wa kanisa katoliki baptiste Mapunda amekishauri chama cha mapinduzi kuanza kujiandaa kuondoka madarakani kwa kushindwa kuboresha maisha ya watanzania ambayo yanazidi kuwa magumu.Padre huyo alitoa kauli hiyo siku ya jumapili wakati wa ibada ya jumapili ktk kanisa lililoko huko Yombo Dovya mkoani Dar-es-salaam.Alitoa mfano wa nchi za Kenya,Zambia,Ghana na kwingineko ambako vyama tawala viliondolewa madarakani.
Vili vile ameunga mkono mgomo wa madaktari akisema wanadai haki na amedai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli.
Source:Tanzania daima la trh 25/06/2012.
 
Back
Top Bottom