Padre Baptist Mapunda: Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

Chademakwanza

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
6,346
1,871
Nimekuwa nikimsikia tu Padre Baptist Mapunda.Leo nimeenda kanisani kwangu misa ya kwanza nikamkuta Padre mpya.Akajitambulisha anaitwa Baptist Mapunda Tunda la Kanisa.

Mahubiri yake:

*Amesema amepata maono kwamba Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

*Akasema utawala huu ni wa shetani kwani watawala wamewageuka wananchi na kutenda kila aina ya uovu kwa raia wake

*Akasema anashangaa watu wanadanganywa na kanga na Tshirt za CCM ili kuichagua.Akadai mwenye shida amfuate atamnunulia Tshirt 10 bure kuliko kuvaa Tshirt ya CCM

*Akadai haogopi kufa kwa kusema ukweli.Akasema kama CCM wanamchukia akitoka nje wamkate shingo yake.

*Amewashangaa mafisadi waliopewa mabiliini ya Escrow na akadai yeye siyo kiongozi wa dini wa kuhongwa

*Akasema mtu ambaye mpaka leo anachagua CCM ni kipofu na amelaaniwa.Akasema haogopi kuchukiwa na CCM kwani yeye ni Nabii

*Akasema kuonyesha CCM ni watu waovu wameamua kwa makusudi kuwaapisha watu walioshindwa katika chaguzi.Huo ni ushetani wa kiwango cha mwisho kabisa.

*Amewashambulia viongozi wa dini wanafiki walamba viatu vya mafisadi ambao kila mwaka mpya wanaitisha kongamano wanalodai ni la kuombea amani.Amesema hawezi kushiriki upuuzi wa aina hiyo hata siku moja.Kwa sababu viongozi wa aina hiyo hawataki kuwaambia ukweli watawala kwamba matendo yao ndiyo yanavuruga amani.

--**Mwenye Masikio na asikie--**
 
Umeenda "kanisani kwako" sawa. Lakini hayo si maono ni mawazo yake tu ya kisiasa. tena atakuwa padre wa ajabu kusema maneno kama hayo ambayo ni siasa ya moja kwa moja kanisani. hayo ni maneno yanayotakiwa kusemwa kwenye jukwaa la siasa. Nahisi hayo uliyoandika ni uongo mtupu. sema wee ndio mawazo yako, ndo maana na kanisa ni lako!
 
Mambo ya kanisani yanaishia kanisani, unaleta hapa ya nini?
Mahubiri hayajadiliwi, ndio maana hakuna muhubiri anayeulizwa maswali kwamba hapa unamaana gani, hutaki unaacha.
 
ameongea ukweli lakin, lakin kanisani sio maala pake!!!!... pia mleta mada sisi tuta kuamini vipi?
 
Umeenda "kanisani kwako" sawa. Lakini hayo si maono ni mawazo yake tu ya kisiasa. tena atakuwa padre wa ajabu kusema maneno kama hayo ambayo ni siasa ya moja kwa moja kanisani. hayo ni maneno yanayotakiwa kusemwa kwenye jukwaa la siasa. Nahisi hayo uliyoandika ni uongo mtupu. sema wee ndio mawazo yako, ndo maana na kanisa ni lako!
Ili pesa kama ya escrow ipatikane kwa hawa wezi inabidi iongezwe kwenye gharama za umeme na mambo kama hayo. Hata kanisa na viongozi wake wanatumia umeme na wanaathiriwa na ujangili wa ccm. Kwanini asiseme?
Mahatma Gandhi aliwahi kusema wanaofikiri dini haihusiani na siasa ni watu wasioifahamu dini, pole sana kwa kuwa mmoja wa watu hao.
 
Nimekuwa nikimsikia tu Padre Baptist Mapunda.Leo nimeenda kanisani kwangu misa ya kwanza nikamkuta Padre mpya.Akajitambulisha anaitwa Baptist Mapunda Tunda la Kanisa.

Mahubiri yake:

*Amesema amepata maono kwamba Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

*Akasema utawala huu ni wa shetani kwani watawala wamewageuka wananchi na kutenda kila aina ya uovu kwa raia wake

*Akasema anashangaa watu wanadanganywa na kanga na Tshirt za CCM ili kuichagua.Akadai mwenye shida amfuate atamnunulia Tshirt 10 bure kuliko kuvaa Tshirt ya CCM

*Akadai haogopi kufa kwa kusema ukweli.Akasema kama CCM wanamchukia akitoka nje wamkate shingo yake.

*Amewashangaa mafisadi waliopewa mabiliini ya Escrow na akadai yeye siyo kiongozi wa dini wa kuhongwa

*Akasema mtu ambaye mpaka leo anachagua CCM ni kipofu na amelaaniwa.Akasema haogopi kuchukiwa na CCM kwani yeye ni Nabii

*Akasema kuonyesha CCM ni watu waovu wameamua kwa makusudi kuwaapisha watu walioshindwa katika chaguzi.Huo ni ushetani wa kiwango cha mwisho kabisa.

*Amewashambulia viongozi wa dini wanafiki walamba viatu vya mafisadi ambao kila mwaka mpya wanaitisha kongamano wanalodai ni la kuombea amani.Amesema hawezi kushiriki upuuzi wa aina hiyo hata siku moja.Kwa sababu viongozi wa aina hiyo hawataki kuwaambia ukweli watawala kwamba matendo yao ndiyo yanavuruga amani.

--**Mwenye Masikio na asikie--**

Hii Ni Sauti ya unabii Wa mungu mwenyewe aliyehai......ukiyapuuuza haya maono we na familia yako mtapata adhabu ya laana Kali kutoka Kwa mungu.

Hata Yesu kristo aliwakemea wataawala Wa Kiyahudi kuwa wanawabebesha wananchi mizigo mizito... Sharia mbovu na Sera za kipumbafu za watawala Wa CCM....Hongera Fr. Mapunda Kwa kuwaambia watanzania ukweli...

Hata mwanafalsafa Socrates aliyeyena hata aliyoyarudia Fr. Mapunda na Mimi nawaasa wananchi wenzangu tuikatae CCM na mitego yao yote na Ma CCM yalaaniwe milele Amina.

Kwa vile viongozi wetu Wa kanisa katholiki wamekengeuka hadi wakaifanya mioyo yao migumu wakavitumia vyeo na uongozi wao ndani ya Makanisa kushirikiana na watu Wa Sodoma na Gomora (CCM) kutakatisha FEDHA haramu za damu isiyonahatia ya akina Mwangosi, Dr.Mvungi, Korimba, Prof. Mgimwa na wengineo ambao walisema ukweli mtupu dhidi ya watawala Wa CCM ambao wamekengeuka na kuzifanya shingo na mioyo yao kupofuka na kutetea uovu na uharamia wa raslimali za nchi....Amini na waabieni Wote watapokea mapigo saba ya mungu ya kisiasa, kifamilia na kijamii na walaaniwe mafisadi na viongozi wetu wa dini walioshiriki kupokea nabkutakatisha pesa za damu ya laana.....
 
Huyu padre aliwahi kuwataadharisha Songea mjini wasimchague Nchimbi 2005 wakabisha leo wanajuta. Sijui jamaa anatoa wapi maono simuelewi
kwani wewe ndio Chademakwanza mleta mada hajasema ni mjia gani katokea ww MuislamuPost #5 ushajubu
mnatunga vitu sijui kwa kujipendekeza au kulipwa huko BAVICHA
Songea Mjini leo Padri ahubiri kitu kilekile na cha huko Moshi Kishimundu kwa chaggadema Saccos awe sawa na wa Bombambili
msiijaze Saver yetu kwa uongo hata Uchaguzi haujakaribia
 
Life saver au dude gani hilo!
 
akili mbofumbofu. sijaelewa chohcote ulichoandika hapa sijui unajazibaa au?
 
kwani wewe ndio Chademakwanza mleta mada hajasema ni mjia gani katokea ww MuislamuPost #5 ushajubu
mnatunga vitu sijui kwa kujipendekeza au kulipwa huko BAVICHA
Songea Mjini leo Padri ahubiri kitu kilekile na cha huko Moshi Kishimundu kwa chaggadema Saccos awe sawa na wa Bombambili
msiijaze Saver yetu kwa uongo hata Uchaguzi haujakaribia
WAULIZE WANASONGEA KAMA 2005 SIKU CHACHE KABLA YA UCHAGUZI MKUU. HAKUHUBIRI KATIKA KANISA KUU LA MT MATHIAS MULUMBA KALEMBA JIMBONI SONGEA. NA NINI KIMEWAKUTA NA NCHIMBI WAO. Dogo usikurupuke inaonesha humfahamu huyo father vizur. Fuatilia historia yake then uje.
 
kwani wewe ndio Chademakwanza mleta mada hajasema ni mjia gani katokea ww MuislamuPost #5 ushajubu
mnatunga vitu sijui kwa kujipendekeza au kulipwa huko BAVICHA
Songea Mjini leo Padri ahubiri kitu kilekile na cha huko Moshi Kishimundu kwa chaggadema Saccos awe sawa na wa Bombambili
msiijaze Saver yetu kwa uongo hata Uchaguzi haujakaribia
Pumbavu!!!!!!!!!!!!! jifunze kuandika ndio uje hapa
 
Life saver au dude gani hilo!

Vijana wanashindwa kujishughulisha sasa hivi wako busy kutetea mafisadi kwa madai ya kupewa mapande tahadhari vijana bora muwe wakweli hakuna asiyejua Kuwa nchi hii imefikia wapi. mnaowakuwadia uraisi hao mafisadi Mpo wengi Kiasi hata hayo mapande hayawatoshi mtalala njaa
 
..tunawahitaji sana ma padre wa aina hii TZ..wenye uthubutu wa moja wa moja kukemea maovu yanayofanywa na watawala....TZ haiitaji ma padre wanafiki hata kwa Mungu wao...wale wenye kula na watawala na kushindwa kuwakemea pale wanapoona wayafanyayo siyo...
 
Back
Top Bottom