Nasubiri kusikia kauli za Wassira na/au Lukuvi kuhusu hili!
Hawa OUPT si ndo walikuwa na
ofisi hapo maktaba street ktk jengo zilizokuwa ofisi za TSN (Daily
News) miaka ya 1994/7?
Kibosile wao alikuwa mpemba mmoja hivi alijaza ndugu zake kibao. 90% ya
wafanyakazi walikuwa wapemba!
Let them face the music