johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Uwezo ni pamoja na kuwa huru kufanya mahojiano bila kuyakatisha au kuahirisha.
Nakumbuka wakati Rais Mkapa anaokwenda kufanya kipindi/mahojiano pale Hard Talk BBC na pale ndio nilielewa faida ya media kuhojiana na hawa big names.
Tanzania bado sana ila pale Citizen TV Kenya wenzetu wana uwezo, akina Jeff huwa wanamuhoji Ruto na Raila tena siku hiyo hiyo moja.
Sikushangaa yule bwana mdogo wa Citizen TV kuchukua kiti pale Focus on Africa BBC huku wengi waliamini nafasi ile ni ya kijana wetu mpendwa Kikeke.
Ila hapa JF tunaenjoy 😀