OSHA ni Idara, Wakala au Mamlaka?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
1,009
840
Katika hotuba aliyoitoa kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alisema Serikali itaipandisha hadhi OSHA.

Swali langu ni Je kwasasa OSHA ipo kwenye daraja lipi Idara, Wakala au Mamlaka?
 
Back
Top Bottom