The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Next utasikia William and Kate postponed their honeymoon because Al-Qaeda was a threat
We angalia Rais makini.Obama alikuwa makini,akutaka kuelezwa na watu wa chini yake.Kashudia mwenyewe na kasema kitu alichosema.Mfano huu wainge na marais wengeni.Kuwa operation yoyote inapofanyika Rais kuwa karibu anaweza kuua watu ambao siyo wahusika.
Wakubwa japokuwa kuna taarifa ambazo bado hazijathibitishwa na evidences za kutosha kuhusu kifo cha Osama. naamini kwamba ile picha aliyopigwa risasi sio ya kweli. Nimejaribu kuilinganisha naona ni picha ile ile ila imefanyiwa photoshop.... Kwanini wamzike haraka haraka hivyo.. nani ana mamlaka na mwili wa Osama..... kama ni kuua story ya osama kwenye vichwa vya watu hapa duniani basi marekani wamefanikiwa. Nadhani kwa muda wote huo ambao walikuwa wanamtafuta basi wangechukua angalau hata mfupa wa maiti yake. Hii si mara ya kwanza kusema kwamba Osama amauawa....... till I die... Osama is alive
They (USA) created Osama and he screwed them now they decide to remove him from the history same way they created him....so let them do it. As long as it makes them sleep at night. Maana from the begining they played the same game so as to invade those countries in the name of terrorist and the likes now they make us believe they have killed him...
Nakubaliana na Mgalanjuka kwamba wao kwa kutumia vyombo vyao vya habari walimtengeneza Osama na vyombo hivyohivyo watamuondoa.
Ukiangalia vizuri hiyo picha halafu ukatazama picha ya Osama ya miaka kumi iliyopita hiyo inaonekana kuwa ilikuwa ya zamani zaidi. Kwanza mvi za ndevu zimekuwa sio nyingi kuliko kwenye ile picha ya 2001, kitu ambacho ukifikiria sana utaona kuwa kwa sasa angetakiwa awe na mvi nyingi zaidi. Halafu hata picha iliyoonyeshwa inaonyesha kuwa alikuwa kijana zaidi wakati anauawa.
Tunahitaji ukweli zaidi ili isije ikawa sinema za kimarekani!
kwa nini usije na maelezo au uthibitisho kwamba hakuuawa kuliko kuleta uchambuzi hafifu..
Ni wewe tu uko-confused...
Soma hapa
Obama Watched Operation That Killed Osama source: Obama Watched Operation That Killed Osama - Yahoo! News UK
Pictures have been released of US President Barack Obama watching live footage of the operation that killed Osama bin Laden.
The al Qaeda leader was shot dead by US special forces who stormed his villa in the Pakistani town of Abbottabad in the early hours of Monday morning local time.
Bin Laden's compound was close to a military garrison and was only around 40 miles from the capital Islamabad.
Photographs issued by the White House show the president and other members of his team looking tense as they watch live video of the mission as it happened.
US Secretary of State Hillary Clinton is shown with a particularly anxious expression, with both her hands clasped over her mouth.
US chief counter-terrorism advisor John Brennan was also among those viewing the footage.
He said: "It was probably one of the most anxiety-filled periods of time. It was clearly very tense, a lot of people were holding their breath.
"There was a fair degree of silence as the operation progressed.
"Minutes passed like days and the President was concerned about security of his personnel."
He added that a "tremendous sigh of relief" came in response to confirmation that Bin Laden was among those found in the compound.
Asked how Obama reacted when he received the news that bin Laden had been killed, Brennan recalled that the president said, "We got him."
Brennan said he would not reveal details "about what types of visuals we had or what type of feeds that were there but it was - it gave us the ability to actually track it on an ongoing basis".
The Navy SEAL team that carried out the operation were likely wearing helmet cameras that have the capability to transmit video and sound back to command centres.
One picture shows the President and Chairman of the Joint Chiefs of Staff US Navy Admiral Mike Mullen sharing what appears to be a congratulatory handshake.
Kabla ya osama waliishi vipi?
<br />Wakubwa japokuwa kuna taarifa ambazo bado hazijathibitishwa na evidences za kutosha kuhusu kifo cha Osama. naamini kwamba ile picha aliyopigwa risasi sio ya kweli. Nimejaribu kuilinganisha naona ni picha ile ile ila imefanyiwa photoshop.... Kwanini wamzike haraka haraka hivyo.. nani ana mamlaka na mwili wa Osama..... kama ni kuua story ya osama kwenye vichwa vya watu hapa duniani basi marekani wamefanikiwa. Nadhani kwa muda wote huo ambao walikuwa wanamtafuta basi wangechukua angalau hata mfupa wa maiti yake. Hii si mara ya kwanza kusema kwamba Osama amauawa....... till I die... Osama is alive