Ajamaanisha tajir wa mahaba2.miss chagga
Ajamaanisha tajir wa mahaba2.miss chagga
Hakufafanua sasaAjamaanisha tajir wa mahaba
2.miss chagga
Sijui kama nitaweza uwiii kwa heriniSamahani dada hatugawi hela; ila tunapokea hela.
Sasa sidhani kama huu utaratibu utauweza.
Hata mimi ningeshindwa mtaniSijui kama nitaweza uwiii kwa herini
Tusepe zetu mtani hapatufai hapaHata mimi ningeshindwa mtani
Sisi tunataka hixi halafu ziwe nyingi nyingiiiiiTusepe zetu mtani hapatufai hapa
Nyingi mnoooSisi tunataka hixi halafu ziwe nyingi nyingiiiii
miss jf2.miss chagga
miss chaggamiss jf
penye wengi akili na mitazamo huwa tofauti ni vizuri kuwapata wachache maana humu wengine waajiriwa wanapokea tu hawajui jinsi ya kuitafuta pesa mtu kama huyo kumpa wazo lazima akushangae na hili jukwaa ndo wametawalaIts hard kupata list hiyo wa wajisiliamali hapa JF kwani kila mtu anatumie I'd
Naamini wapo kina kusaga, Rostam, riziwani na hata mzee wa farasi
Pili zoezi la kuongeza mitaji wa jf kuna siku nilitoa wazo watu wakaniona sina akili
miss chagga
So sad indeed. Wazo la mwanzisha Uzi lilikuwa Zuri kbs.
Sioni tatizo kutumia Id kwani mbona watu wanatoa testimonials zao kwa Id na still zinasaidia sana? Ushauri, ukiwa na issue yako tofauti ni vizuri ukaanzisha thread yako kuliko kuitwist thread ya mwingine.
penye wengi kuna wengine wehu utafikiri miaka 18 maana mawazo ya ukweli wanaingiza utoto mwingi ndio maana ubongo wetu umelala sana
na hasa waajiriwa
tuna kaufinyu ka mawazo sana sijui kwasababu tunapokea tu hatujui kuitafuta pesa BORA WATUMISHI TUNAOONA TUKO KWENYE UTUMWA WA AJIRA KULIKO YULE KAKOMAA KUKENUA MENO 32
KWANZA WAAJIRIWA MTOKE HUKU MNATUCHAFULIA UZI
Inaboa sana mkuu. Nikisema nilist vitu nilivyogain kupitia JF ni vingi sasa so unapoona mwingine anaichezea hii platform roho inauma sana.