Orodha ya matajiri JF

Its hard kupata list hiyo wa wajisiliamali hapa JF kwani kila mtu anatumie I'd
Naamini wapo kina kusaga, Rostam, riziwani na hata mzee wa farasi

Pili zoezi la kuongeza mitaji wa jf kuna siku nilitoa wazo watu wakaniona sina akili
penye wengi akili na mitazamo huwa tofauti ni vizuri kuwapata wachache maana humu wengine waajiriwa wanapokea tu hawajui jinsi ya kuitafuta pesa mtu kama huyo kumpa wazo lazima akushangae na hili jukwaa ndo wametawala
 
So sad indeed. Wazo la mwanzisha Uzi lilikuwa Zuri kbs.

Sioni tatizo kutumia Id kwani mbona watu wanatoa testimonials zao kwa Id na still zinasaidia sana? Ushauri, ukiwa na issue yako tofauti ni vizuri ukaanzisha thread yako kuliko kuitwist thread ya mwingine.

penye wengi kuna wengine wehu utafikiri miaka 18 maana mawazo ya ukweli wanaingiza utoto mwingi ndio maana ubongo wetu umelala sana
na hasa waajiriwa
tuna kaufinyu ka mawazo sana sijui kwasababu tunapokea tu hatujui kuitafuta pesa BORA WATUMISHI TUNAOONA TUKO KWENYE UTUMWA WA AJIRA KULIKO YULE KAKOMAA KUKENUA MENO 32

KWANZA WAAJIRIWA MTOKE HUKU MNATUCHAFULIA UZI
 
Inaboa sana mkuu. Nikisema nilist vitu nilivyogain kupitia JF ni vingi sasa so unapoona mwingine anaichezea hii platform roho inauma sana.
 
Inaboa sana mkuu. Nikisema nilist vitu nilivyogain kupitia JF ni vingi sasa so unapoona mwingine anaichezea hii platform roho inauma sana.

Tatizo ufinyu wa mawazo mkuu haiwezekani kutoa wazo ishindikane kisa unatumia ID na hawa wenye mawazo mafupi wameweka jf sehemu ya kutaniana si lengo la mwanzilishi hilo na katika hilo hakusahau kuweka platform za utani na ujinga wowote LAKINI IMEKUWA TOFAUTI MTU thread yeyote hata sensitive anapost ujinga
HAWA NI KENGE MKUU KATIKA HUU MSAFARA ACHA TUJIFUNZE NAMNA YA KUKAA PEMBENI NAO
 
5 bora jamani nisikosekane na Mungu atawabariki maradufu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom