Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

Daktari mwenyewe tangu ahitimu na kupewa ofisi hajawahi kushughulisha na kusoma magonjwa wanatibu kwa uzoefu. Ukipata Dr anayejisomea na kuchimbua vizuri atajaliwa na wateja mpaka akome hata kama yupo gvt jamii nzima itamjua.

Tatizo la kutoendeleza udadis kwa Tanzania ninkubwa sana kwa kada zote.

Nichagueni niwe Rais lazima Niwekeze sana kwenye research na technology.
Hili ndio tatizo kubwa, kada ya afya kwa muda mrefu sana imekuwa na wataalamu wenye mawazo dormant juu ya magonjwa na mfumo mzima wa mwili.

Mtu kahitimu mafunzo 2010 hadi leo hajawahi 2024 hajawahi kuchimbua kuhusu mabadiliko yoyote ya kimatibabu, hivyo ana hudumia kutokana na uzoefu wake wa miaka 10-20 ya nyuma.

Wataalamu si wa kulaumiwa sana katika hili, shida ni mifumo yetu ya kuwaandaa hao wataalamu. Unakuta mafunzo na elimu wanayopewa ni ile ya miaka ya 70's hadi 90's kwa huko ulaya.
 
Umeongea point kubwa sana
 
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:

1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari

Ongezeeni mengine hapo
-Saratani ina uwanda mpana na ina stage pia na ina aina.
Zipo zinazotibika pale Ocean road kama zikiwa katika acute stage.
Early stage ya carcinoma hutibika japo inategemea ni aina gani ya carcinoma.
-Pia kisukari inategemea nayo ya aina gani na imekuja kwa mtindo gani.
Kuna sukari zingine zaja kwa mtindo wa hypo/hyperglycaemia mwishowe zinakuwa chanzo cha diabetes.
Sukari ilokuja kwa mtindo huu hapa bongo inatibia.

Kuhusu stomach ulcers ni kipengele kutibu hata huko nje ya nchi.
 
-Saratani ina uwanda mpana na ina stage pia na ina aina.
Zipo zinazotibika pale Ocean road kama zikiwa katika acute stage.
Early stage ya carcinoma hutibika jambo inategemea ni aina gani ya carcinoma.
-Pia kisukari inategemea nayo ya aina gani na imekuja kwa mtindo gani.
Kuna sukari zingine zaja kwa mtindo wa hypo/hyperglycemia mwishowe zinakuwa chanzo cha diabetes.
Sukari ilokuja kwa mtindo huu hapa bongo inatibia.

Kuhusu stomach ulcers ni kipengele kutibu hata huko nje ya nchi.
umefafanua vizuri kuhusu saratan
 
Kisukari ni ugonjwa unaokuja eidha kwa kurithi ama kwa mtindo wa maisha.
Kisukari sio hali ya mabadiliko ya kimwili,hapa mkuu umetudanganya.
naww umetudanganya kisukari kipo cha kurithi na cha kukipata kutokana na insulin kufeli
 
naww umetudanganya kisukari kipo cha kurithi na cha kukipata kutokana na insulin kufeli
Nimekudanganya mkuu au hukusoma kwa uelewa??
Nimesema ni ugonjwa unaopata eidha kwa kurithi au kwa mtindo wa maisha.
Mtindo wa maisha ndio huleta mkanganyiko katika insulin.
Na mtindo wa maisha wenyewe ni vyakula,mathalan unywaji pombe kupita kiasi na ulaji wa vyakula vya sukari na wanga kwa wingi ambapo wanga hubadilika kuwa glucose end product yake.
Au chakula sio sehemu ya mtindo wa maisha mkuu!?
 
Kisukari ni ugonjwa unaokuja eidha kwa kurithi ama kwa mtindo wa maisha.
Kisukari sio hali ya mabadiliko ya kimwili,hapa mkuu umetudanganya.
Kisukari (nikiwa na maana ya Type II) siyo ugonjwa, ila kispokokuwa controlled kinaweza kusababisha matatizo mengine mwilini ambayo ndiyo hugeuka kuwa magonjwa, na huenda hayo ndiyo unayozungumza. Lakini kisukari pekee siyo ugonjwa
 
Kipi kinakufanya type 2 uone sio ugonjwa?
Embu tueleze,maana yafahamika diabetes milletus ziko type 1&2 vikiwa ugonjwa kama ugonjwa.
Labda utueleze maoni yako kwa ukina mkuu.
 
Kisukari siyo ugonjwa. Ni mabadiliko ya kimwili ambayo hutokana na lifestyle.
Yes kila mtu ana sukari sema sukari inayozalishwa mwilini na inayoingia mwilini inatakiwa isizid ,ikizid inasababisha hitilafu kwenye kongosho ndo mtu anapata ugonjwa wa kisukari,ila nimeona Kuna therapy zimewasaidia watu hapa Tanzania,kuwatibu vidonda vya tumbo,saratani na kisukari na wapo fit
 
kulinganisha ubora wa Amoxiclav hizi za India ( Myclav, and the likes) na Amoxiclav ile original Augmentin ya GSK( European Quality)
Hatar baba.
Mwanangu alushawah pata scenario flan hiv na nikaambiwa niitafute hiyo amoxclave ya Europe, mzee kale kachupa kadogo tu, nilipigwa 25k, nikaambiwa Europe hii bada ya kushangaa shangaa
 
Kuna dawa inaitwa ag broc inatibu haya maradhi yenyewe inahusika na mambo ya immunity kituo chake kipo Dar atakaye kuwa tayar nitampatia mawasiliano ila unatumia kwa muda wa miez mitatu
unamaanisha ngoma imepata tiba au?
 
Back
Top Bottom