Hata mimi naona maana hata hamu ya kuangalia show hiyo kwangu binafsi imepungua ukilinganisha na walipokuwa EATV. Sikui kama hawa TBC1 wanawabania baadhi ya vitu.Wandugu kwa mtazamo wangu naona hawa vijana tangu waondoke pale EATV kama wamepote kabisa katika anga la vichekesho je ikoje hiyo wa JF
KUNA mambo mawili huenda yakawa yametokea kwa hawa vijana.Wandugu kwa mtazamo wangu naona hawa vijana tangu waondoke pale EATV kama wamepote kabisa katika anga la vichekesho je ikoje hiyo wa JF
nikweli ERICK SHIGONGO ALIANDIKA MAKALA NZIMA, kuwaasa na kuwashauri njia nzuri ya kupita, unajua wao walijibu kwa kejeli na majivuno.....katika maisha kuna kupanda na kushuka, ila hawa vijana anguko lao limekuja mapema mno, bado hawakupaswa kuwa katika daraja hili, wanatokomea, hata thamani yao ya mialiko imeshuka, sasa unaweza kuwakodisha kwa milioni tatu wakaja kumburudisha mwanao kwa masaa zaidi ya matatu sebuleni kako.Mnakumbuka wosia wa Shigongo kwa vijana hawa?
laana ya Mzee Mengi, maana vijana walimtusi sana baada ya kusign mkataba na TBC , wakasahau fadhila zake zote.
kupitia kwao lipo jambo la kujifunza nalo nikua, unapopanda usiwatusi wale waliokupa mbeleko, maana utakapo kuwa unashuka utawakuta wao wanapanda juu, Mengi bado yuko juu baada ya dharau na kejeli zao, bila shaka Seki ipo siku atamuomba radhi hadharani huyu mzee. maana ni heri masanja hana mambo mengi katika historia yake lakini kijana Sekioni, hadi aibu, na niyeye ndie aliekua mtu wa kati katika kelele nyingi zilizopazwa na kundi hilo......hilo linawezekana hawa vijana walimtusi sana mzee Mengi, licha ya kutambua mchango wake kwao
Mnakumbuka wosia wa Shigongo kwa vijana hawa?
Hii nini ? wivu au ? sijaona nini cha kustahili kuitwa unafika kwenye waraka wenye hoja murua kama wa Shigongo kwa watu wote kwa ujumla na orijino komedi kipekee,ni vema kama una hoja na Shingongo itoe tuione kuliko kupinga nata kizuri ilimradi kimetolewa na Shigongo.Shigongo atawapa wosia gani wakati yeye mwenyewe mambo yamampanda.
Mnafiki mkubwa anayejifanya mlokole huku analisha familia yake unafiki na majungu
Ajipe mwenyewe wosia Mkuu Acha hizo
Wandugu kwa mtazamo wangu naona hawa vijana tangu waondoke pale EATV kama wamepote kabisa katika anga la vichekesho je ikoje hiyo wa JF