Oppenheimer ni zaidi ya muvi

Attelan

JF-Expert Member
Oct 12, 2023
434
701
images.jpeg
 
Movie baada ya Oscar au sio
Nimeikubali hata kabla haijapata hizo tuzo za Oscar. Napenda issue za Atomic Energy, ningekuwa nagawa tuzo hata series ya Chernobyl ingekamata tuzo.

Napenda waliosoma Physics na Math wanapoweza ku-express mawazo yao na kujenga theory ambazo walizisimamia mpaka zilipokuwa kweli!

Unaweza usielewe ila kuna uzuri kwenye kuona kumbe fani hizi zinazohusisha masomo ya Sayansi zinapofaulu kutengeneza kitu madhara yake (chanya au hasi) yanaonekana kote au katika ukubwa ambao haukutarajiwa.
 
Back
Top Bottom