Operation ya Godbless Lema MOVEMENT FOR CHANGE (M4C) imeishia wapi?

duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,428
217
Wakuu.
Ule mradi wa Chadema uliokuwa unasimamiwa na mbunge wa Arusha Godbless Lema maarufu kama MOVEMENT FOR CHANGE (M4C) ambao ulipelekea Lema kununua Helicopter kutoka Uingereza (sina uhakika kama hiyo Chopa imeshafika)Umeishia wapi? Ni kipindi kirefu sasa hatujasikia lolote kutoka kwenye huu mradi. Vipi kuhusu mapato na matumizi yake? Au ulikuwa ni mpango wa kumpatia Lema kipato kipindi kile amesimamishwa ubunge ili asije akairudia ile kazi yake ya zamani?
 
Magamba mnaogopa sana m4c...kwa taarifa yako m4c haitaisha mpaka kieleweke
 
Lema alikwenda Uingereza baada ya kukusanya michango ya M4C alivyofika Uingereza akamtafuta kamanda wa kipindi kile Chris Lukosi ampeleke wanapouza Chopa chakavu.

Walipofika madukani Lema akapiga picha huku ameishika Chopa kama vile kainunua akaiweka kwenye mitandao na kuwalaghani wafuasi wake kuwa kanunua Chopa baada ya michango ya M4C.

Leo mwaka wa tatu hakuna Chopa wala parachuti.
 
Last edited by a moderator:
unaonaje ungepeleka hilo swali kwenye Facebook ukaacha JF tujadili mambo makubwa zaidi? ni ombi tu
 
Wakuu.
Ule mradi wa Chadema uliokuwa unasimamiwa na mbunge wa Arusha Godbless Lema maarufu kama MOVEMENT FOR CHANGE (M4C) ambao ulipelekea Lema kununua Helicopter kutoka Uingereza (sina uhakika kama hiyo Chopa imeshafika)Umeishia wapi? Ni kipindi kirefu sasa hatujasikia lolote kutoka kwenye huu mradi. Vipi kuhusu mapato na matumizi yake? Au ulikuwa ni mpango wa kumpatia Lema kipato kipindi kile amesimamishwa ubunge ili asije akairudia ile kazi yake ya zamani?

Yaani wewe kama ni mwanadada basi hauwezi kuolewa na kama ni dume basi nina mashaka na uwezo wako wa kuiridhisha ndoa yako.
 
Lema alikwenda Uingereza baada ya kukusanya michango ya M4C alivyofika Uingereza akamtafuta kamanda wa kipindi kile Chris Lukosi ampeleke wanapouza Chopa chakavu.

Walipofika madukani Lema akapiga picha huku ameishika Chopa kama vile kainunua akaiweka kwenye mitandao na kuwalaghani wafuasi wake kuwa kanunua Chopa baada ya michango ya M4C.

Leo mwaka wa tatu hakuna Chopa wala parachuti.

Choopa wana nunua ccm kwa mgongo wa ulinzi wa wananchi kutoka kwa mao.
 
Last edited by a moderator:
Lema alikwenda Uingereza baada ya kukusanya michango ya M4C alivyofika Uingereza akamtafuta kamanda wa kipindi kile Chris Lukosi ampeleke wanapouza Chopa chakavu.

Walipofika madukani Lema akapiga picha huku ameishika Chopa kama vile kainunua akaiweka kwenye mitandao na kuwalaghani wafuasi wake kuwa kanunua Chopa baada ya michango ya M4C.

Leo mwaka wa tatu hakuna Chopa wala parachuti.

teh teh teh.. Kumbe ile Chopa ilikuwa changa la macho?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli ule mchezo lema hawezi kuuacha kwni ni miongoni mwa sera za chadema ht washirika wao wa ujerumani wamewapa masharti chadema ili waendelee kuwapa msaada,na sasa hivi wameungana na waliberali mambo moto moto,kwa habar zilizopo ni kwamba lema ana.,...,
 
Wakuu.
Ule mradi wa Chadema uliokuwa unasimamiwa na mbunge wa Arusha Godbless Lema maarufu kama MOVEMENT FOR CHANGE (M4C) ambao ulipelekea Lema kununua Helicopter kutoka Uingereza (sina uhakika kama hiyo Chopa imeshafika)Umeishia wapi? Ni kipindi kirefu sasa hatujasikia lolote kutoka kwenye huu mradi. Vipi kuhusu mapato na matumizi yake? Au ulikuwa ni mpango wa kumpatia Lema kipato kipindi kile amesimamishwa ubunge ili asije akairudia ile kazi yake ya zamani?
Iliishia kwa mama yako, yule wa kona bar.
 
Back
Top Bottom