CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,789
- 1,782
Watumiaji wa opera browser mnaarifiwa kuwa opera wameongeza Aria browser AI bot kwa ajili ya kuchat na wewe. Unauliza swali unapewa majibu. Ni kama ChatGPT lakini yenyewe haihitaji kulipiwa.
Sijui kama ina uwezo kama ChatGPT labda muda utasema.
Download update toka playstore halafu ukifungua opera browser click chini kulia kwenye avatar. Utaiona pale na kuanza kuchat.
Sijui kama ina uwezo kama ChatGPT labda muda utasema.
Download update toka playstore halafu ukifungua opera browser click chini kulia kwenye avatar. Utaiona pale na kuanza kuchat.