Onyo-3 raha premium condoms zime expire.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
zina Batch No Tofauti

Mfg.Date 06./2007
Exp.Date 05/2012

Naomba tamko la Wizara ya Afya.Kuhusu hizi condoms.
 
Tamko litakawia sanaaa.... Tanzania ni dampo! Tuwe makini na bidhaa au huduma tunazotumia. TAHADHARI KWAWALE WANAONUNUA USIKU AU WAKIWA NA HARAKA ZA KUNANIII....
 
dawa nyingi zilizomo madukani zinaexpire mwaka huu. Kuweni makini kila unaponunua kitu angalia mwisho wake

siyo hzo kinga tu, m2 leo analalamika kanunua syrup ya mwanae mdogo af kawah kumpa bila kuchek, kumbe ipo xpired tayar,ikabid dogo atapishwe af aende kwa muuzaji,nae anadai kauziwa hvyo,na zmechanganywa zna xpaya det tofaut!
Mbaya sana kwakweli! Rotten Tz
 
tamko la wizara ya afya? Ya nchi gani?

Tanzania akiwemo dr, mponda,dkt nkya na mzee wa viwango @ ekelegeeeee
 
kAMA MAWZIRI NDIO HAO AKINA NKYA NA MPONDA WALA USIHANGAIKE KABISA SUBIRI MPAKA CAG AJE KUCHUNGUZA KWANZA.
 
Tamko litakawia sanaaa.... Tanzania ni dampo! Tuwe makini na bidhaa au huduma tunazotumia. TAHADHARI KWAWALE WANAONUNUA USIKU AU WAKIWA NA HARAKA ZA KUNANIII....

kwa usalama zaidi jaribu kuepuka ngono, kwani usipofanya huwezi kuumwa
 
Back
Top Bottom