Only Genius Can Solve This..

Boflo kauli hii inaweza ikakucost...nahisi hata ww lilikugonga mahali ukachemka...ukapewa jibu...ndo ukatuletea humu

Ni kweli BAGAH nili edit fasta kumbe ulishtukia??? lakini usichukulie kauli yangu serious.... ni just utani na kukufanya uwe strong mara ya pili unapokutana na challenge
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli BAGAH nili edit fasta kumbe ulishtukia??? lakini usichukulie kauli yangu serious.... ni just utani na kukufanya uwe strong mara ya pili unapokutana na challenge

teheee.. Boflo usijali...njia wapotea wakati wa kwenda tu...wakati ukirudi unapeta tu!...inatufundisha kusoma na kuelewa swali!...fab.
 
Last edited by a moderator:
teheee.. Boflo usijali...njia wapotea wakati wa kwenda tu...wakati ukirudi unapeta tu!...inatufundisha kusoma na kuelewa swali!...fab.

Kuna njia unapotea wakati wa kwenda na kurudi
 
Last edited by a moderator:
Purple ..Si umeona mwenyewe wote wanakimbilia kumuokoa mama pamoja na MAMMAMIA......nimewaambia

wa pick things na sio people..... sasa mama na mtoto ni things au people????????

Mimi nilikuwa nafikiri wana Jf ni Great thinkers........ kumbe ni mabongolala!!!!
Hapa lazima nikubali kuwa kweli mimi ni bongolala. Ndio maana kule jukwaa la Great Thinkers siingii.
NWY - Hongera sana.
 
Thank God l am not genius, so l dont have to even think about it; leave alone choosing!
Boffffffffffffffloooooooooooooooooooooooooooo!
 
Imagine u're in a burning house n u have the oppotunity of picking just TWO
things from the house.

Which of the follwing would u pick?
1-5 million us dollars Definitely, they might come in handy since I will leave the certificates behind...
2.Ur mum Dad will never leave her behind, I know
3.Ur 5 yr old child If there was just one on the list it would be the child...
4.Ur certifcates Replaced by 5M... Certificates are just papers, I still have the knowledge.
5.ur girl friend ..or u r boy frnd. Sorry honey, they said TWO. But if you get out of here, please save my certificates for me
6. Ur dad My dad is a super hero, he will take care of himself AND of Mum...
easy!!!
 
More information please about first red about the kid as a disaster!
The last in red, dad is just a supposition, he might be or anyone else, but mom there isn't any doubt.

Nimependa Jibu lako, hii sasa ndo itakufanya uonekane Genious, otherwise waweza fanya wrong calculation, which ends with the wrong answer, lol
 
Nimependa Jibu lako, hii sasa ndo itakufanya uonekane Genious, otherwise waweza fanya wrong calculation, which ends with the wrong answer, lol
Thanks, lakini kumbe nilichemsha. Kumbe kunatakiwa VITU mimi nikakimbilia WATU. Hata hivyo sijuti na nikiulizwa tena nitajibu hivyo hivyo.
 
Thanks, lakini kumbe nilichemsha. Kumbe kunatakiwa VITU mimi nikakimbilia WATU. Hata hivyo sijuti na nikiulizwa tena nitajibu hivyo hivyo.

Nature ya swali na hali imekulazim kujibu hivyo, ndio maana hata maji hayana wingi kwa kiingereza, isipokuwa yametekwa katika vyanzo tofauti, lol.
 
Ovias 5mil dolarz and my 5year kid!<<atanikumbusha mygal mbeleni. .And mi ntakuepo kama ukumbusho wa myparents
 
Back
Top Bottom