Ongezeko la utapeli wa kamali Dar es Salaam Kamati ya Ulinzi na Usalama hawalioni?

Dec 20, 2016
98
109
Inasikitisha sana Kwa mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya zake kusambaa magenge ya utapeli na wananchi kuibiwa na Hawa matapeli wanaounda vikundi vyao maeneo ya mkusanyiko wa watu wengi kama Kariakoo, Ilala, Mbezi Mwisho na Mbagala kisha kuwahadaa Wananchi Kwa michezo ya kamali na mwisho wao wananchi wengi wanaibiwa

Sasa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa dar es salaam chini ya mheshimiwa Albert chalamila hawalioni hili suala.

Au Hawa wahuni Wana mkono wa baraka kutoka Kwa serikali
 
sema hao wakituona watu kama sisi wajanja tumekaa kwenye kamali zao wanatufukuza sijui kwann
 
Kamali zote ni utapeli tu.

Yale madubwi ya mchina ni sehemu ya uchafu ambao serikali inapaswa kuondoa mitaani ili kujenga kizazi chenye maadili mema.
 
Back
Top Bottom