ONGEZEKO LA BEI YA UMEME NI 18% or 50%?

Masakata

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
374
137
Hebu watz wenzangu 2jadiliane kuhusu ongezeko la bei ya umeme,mi nadhani ongezeko ni 50%,kwanini nasema hivyo,kabla nilikuwa nikitoa elfu kumi ya tz,nilikuwa napata units 64 kwa mwezi(hapo including charges zote),ila juzi jmoc nimetoa elfu kumi ya tz,nimepata units 33 na points(+ other charges)..hebu 2tachangie wadau,ukweli ufahamike
 
Back
Top Bottom