lwampel JF-Expert Member Feb 28, 2011 249 55 Aug 14, 2012 #41 Jamaa anakichwa kikubwa mpaka akisikitika anaanguka
Me370 JF-Expert Member Mar 10, 2008 985 293 Aug 14, 2012 #42 umekomaa mpaka ukinywa soda hausikii utamu.
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Aug 14, 2012 #43 mnakulaga sabuni hadi mnajisaidia povu.
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Aug 14, 2012 #44 umekomaa mpa ukikonyeza unatoa alarm.