Ongezea hapo ya kwako

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
592
178
Kwenu wachoyo mpaka mkimeza mate mnajificha.......! Kwenu ni slow learners mpaka mlirudia sunday school...! Tv yenu ni ndogo hadi usain bolt akikimbia anamalizia mbio kwa jirani....! Kwenu mko wengi hadi kwenye korido mmeweka bounce na trafik light....! We ni **** mpaka uliweka majani ya chai kwenye sprite ndio iwe cocacola.....! Una kichwa kidogo hadi ukisoma gazeti m2 akipita kwa mbali unaweza kusema ni fullstop! Kama vp ongezea utani bc!
 
Kwenu mmezaliwa wengi mpaka baba yenu hawajui majina akitaka kuongea nanyi anasema ndugu wananchi
 
Eti we ni kikojozi uliyeshindikana mpaka mama yako kakuandikia kibao kwenye kitanda chako "onyo kali, usikojoe hapa"
 
We ni mjinga mpaka ulienda kwa dentist ukamwomba akungolee bluetooth kwenye simu
 
Back
Top Bottom