Calnde, I know he is literate, most of us are, I was wondering if he "reads". Not asking about local dailys here. The man wants to be head of state, I'm curious what kind of reading he gets up to. How is Arusha?
Hivi mmeshawahi kujiuliza huyu mkulu wa nchi anayerukaruka leo hapa kesho kule kutafuta wawekezaji na umaarufu wa kimataifa anasoma au alisoma vitabu gani? Hivi kweli anao muda wa kusoma hata kitabu kimoja? Ni swali tu ambalo limenikuna mvi zangu.