OMG! Christina Aguilera’s Period started suddenly on stage

si kweli kabsaa..damu inapoanza kutoka haiji kama bomba hivyo kama ndo imemuanza ni lazma vingetoka kidogo siku ya pili au baada ya masaa 6 nakuendelea ndo damu hutoka kwa kasi..lakin siku ya kwanza tena kaw muda huo huo damu itoke vile...labda kama ameharibu mimba.
Inaweza kuwa ni siku ya pili
 
Wananena "mficha maradhi kifo humuumbua" inawezekana Christina Aguilera tunavyomwona Public siku za karibuni sivyo watu waliyo close wanavyomwona .Some people are difficult to admit that they are suffering any form of mental health problems.Public anaweza kujitahidi kuoneka sawa lakini unaweza kukuta anasufa depression
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Plausible explanation labda ni spray ya kugeuza rangi, imeyayuka kutokana na joto na jasho

It may be plausible lakini ndio explanation ya Christina. "Christina Aguilera reveals fake tan streaks on her Dirrty legs at the funeral of Etta James": Christina Aguilera reveals fake tan streaks on her Dirrty legs at the funeral of Etta James | Mail Online. Lakini ukisoma article nzima hakuna sehmu yoyote inaposema kwamba it was a spray except the heading of the story. Na kwa ile performance aliyoitoa on stage lazima spray ingeyeyuka tuu. It was one of her recent stunning performance on stage and she received a standing ovation for that. I really hope it was a spray.

On the other hand, kama ilikuwa ni spray tuu, then huyu mdada haishiwi kuwa na vituko. Unakumbuka uvaaji wake kwenye ile concert ya kumkumbuka Michael Jackson iliyofanyika Wales? Wasichana wengi now look to celebrities for fashion inspiration. There's one celebrity trend sweeping around that not everyone could (or should) pull off - leaving their pants at home.

I used to adore her when she was still a "Genie in a Bottle" but stopped when she became "Dirrty". LOL
 
Pasco, unaongea na watu wasioelewa hizi mambo! This doesn't happen when you are 20 yrs old! Its like talking to a 21 yrs old boy about dysfunction! Hiyo tunaelewa sie wazee tu.
Hata stress tu inasababisha hii ukiachia mbali menopause.
Mademe X nilifikiri pia unaelewa kuna siku mtu anapata hali hiyo siku si zake kutokana na mshtuko au ukiwa too immotional!.
 
It may be plausible lakini ndio explanation ya Christina. "Christina Aguilera reveals fake tan streaks on her Dirrty legs at the funeral of Etta James": Christina Aguilera reveals fake tan streaks on her Dirrty legs at the funeral of Etta James | Mail Online. Lakini ukisoma article nzima hakuna sehmu yoyote inaposema kwamba it was a spray except the heading of the story. Na kwa ile performance aliyoitoa on stage lazima spray ingeyeyuka tuu. It was one of her recent stunning performance on stage she received a standing ovation. I really hope it was a spray.

Of course I don't expect her to admit that her monthly showed up unannounced. That would be hella embarrassing. I expected this kind of spin from her and her people.

Lakini kwa upande mwingine ukiangalia, alikuwa kavaa sketi inayofika magotini. Sasa hiyo tan spray alijinyunyizia mapajani au? Manake hiyo michuruziko inatoka juu mapajani...

Either way, it is embarrassing....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Pasco, unaongea na watu wasioelewa hizi mambo! This doesn't happen when you are 20 yrs old! Its like talking to a 21 yrs old boy about dysfunction! Hiyo tunaelewa sie wazee tu.
Hata stress tu inasababisha hii ukiachia mbali menopause.


Umeongea pont King'asti mie hata sikoment juu ya hili
You neva know ni nini kilimtokea siku hiyo
:A S embarassed:
 
Duuh, Christina Aguilera ana miguu mizuri sana. mie hiyo michirizi ya damu haijaniteka kama uzuri wa miguu yake.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
She is better off if she just shut up...is not kind of news media wanaweza kuendelea kureport kwa muda mrefu kwasababu inaweza kubackfire lakini anapotaka kuspin ni spray tan,like to ask for more media attention
 
Of course I don't expect her to admit that her monthly showed up unannounced. That would be hella embarrassing. I expected this kind of spin from her and her people.

Lakini kwa upande mwingine ukiangalia, alikuwa kavaa sketi inayofika magotini. Sasa hiyo tan spray alijinyunyizia mapajani au? Manake hiyo michuruziko inatoka juu mapajani...

Either way, it is embarrassing....

It could be many things. It could possibly have been blood from her period. It also could have been self tanner that sweated off during the performance (However, her legs would be the only place sweating if this were true). Some say that she began taking diet pills so it could be a leakage from somewhere else (not that that is any better than period blood).
 
Baada ya kuona picha zake nimefikia hitimisho kuwa alijua anafanya nini-publicity. Hilo tukio inaonekana limepangwa maana ingekuwa nature angetaharuki sana. Pia kapoteza umaarufu kwa kiasi kikubwa. Halafu kanenepa sana
 
FL1, napata picha una hiyo emergency, wenzie hata kucheka huwa hatucheki. Sasa na imba yao inahitaji pumzi, flow si inakuwa magnified! Kazi kweli kweli!
Umeongea pont King'asti mie hata sikoment juu ya hili
You neva know ni nini kilimtokea siku hiyo
:A S embarassed:
 
Tan spray inanyunyiziwa mtu akiwa na nguo za ndani tu! Wouldn't it be more embarrassing ukikunja nne paja liwe na rangi tofauti na mguu? Kama tan spray inayeyukaga basi could be it though I bet ingekuwa brownish na sio reddish. Embarrassing moments zinakuwepo, uzuri people will get over it (except channel E)
Lakini kwa upande mwingine ukiangalia, alikuwa kavaa sketi inayofika magotini. Sasa hiyo tan spray alijinyunyizia mapajani au? Manake hiyo michuruziko inatoka juu mapajani...

Either way, it is embarrassing....
 
Legs don't sweat as much as the thighs, trust me!
About the diet pills, that is gross meeenn! If u start leaking, then I'm a happy meat loaf! Ggggrrrr!
It also could have been self tanner that sweated off during the performance (However, her legs would be the only place sweating if this were true).

Some say that she began taking diet pills so it could be a leakage from somewhere else (not that that is any better than period blood).
 
mmh pole yake aisee, wat eva the caseis iwe menstral blood or tan spray kwa vyote ivyo ametia aibu na next time awe makini.
lakin ana sexy legs dah hapo tu.
 
Back
Top Bottom