Ombi maalumu kwa Mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema

Mkuu wakati mwingie unawachokoza, umeisha sisikika

Kigumu Chama Cha Mapinduzi

Kigumu Chama Tawala na Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti
....sasa mkuu wewe huchangii hoja una kuja kila wakati na chorus yako, bila shaka unatafuta matusi mengine

ushi

Mkuu Ushirombo,
kwani kusema 'kidumu chama cha mapinduzi' ni kosa?
Unanikumbusha wakati mfumo wa vyama vingi unaanza, baadhi ya vyama walikuwa hawana sera 'zaidi ya matusi'.
 
Mimi binafsi namheshimu sana Mrema kwa role yake katika kukuza upinzani nchini, bila kujali kama alifanya hilo kwa kukusudia au la. Pamoja na makosa yake nadhani jina lake litabaki katika historia ya mageuzi hapa nchini! Kumbukeni huyu jamaa alikuwa bold sana kuicha CCM wakati akiwa bado na nafasi nzuri huko! Alichokifanya Mrema miaka zaidi ya kumi iliyopita ndio tumekuwa tukiwategemea akina Kilango, Mwakyembe, Sitta nk wafanye lakini hakionekani kama kinawezekana! Kuhama na kuipinga CCM au baraza la mawaziri na wewe ukiwa waziri sio jambo la kawaida jamani! Mrema did it. Sitaki kuaminishwa kuwa Mrema alikuwa anaamini atashinda urais katika mazingira yale! Nadhani alichoka sana na ufisadi ndani ya CCM na akasema liwalo na liwe, natoka!

Alichofana mrema so far kinatosha, awaachie vijana (au wengine) waendeleze. Si lazima kila aliyeipigania haki lazima awe rewarded kwa kuwa rais! Wengi watakufa na wengine kudharauliwa lakini hatimaye haki itapatina. Lakini nadhani kwa sasa amechoka na pia afya yake sio nzuri sana kwa kumtazama physically. Na kwa siasa cha Chadema nadhani haziwezi kum accommodate Mrema! Siasa za Mrema (za kila hotuba lazima ajifagilie binafsi na kukumbushia aliyoyafanya akiwa waziri) zimepitwa na wakati! Nadhani Chadema wanaonyesha kuwa more scientific

Above all, Mrema akienda Chadema ata amplify 'uchaga factor' kwa wabaya wa Chadema! Ingawa hiyo ni upuuzi, lakini siasa ni kuvutia watu na kujiosha madongo hata kama ni ya kipuuzi kama hilo!
 
Alichokifanya ni kazi ya mkubwa wake sisiemu,,,, full stop! Mrema hakuwahi kuwa upinzania na hatakaa awe mpinzani,,, ni msanii wa siasa tu. Mchezo alioigiza ni kuibua vipaji vya wanasiasa wenye hisia kali za mageuzi. Akaibua akina Masumbuko,,,, Kila mtu anajua yalompata huyu mwanasheria shupavu. Akafukuzwa kazi pale mlimani, akafungiwa uwakili,,,, alienda wapi Zanzibar nako akaambiwa huko ni Tanzania. Kijana wa kichaga akashauriwa arudi sisiemu. Mambo yake swafiiiii. Na sio Masumbuko tu,,,wako wengi tu. Kunyamaza kwa wanasiasa chipukizi si kwa kupenda hasa waliopitia kwa Lyatonga!! They have been silenced for the sake of CCM. Walikuwa hatari kwa sisiemu. Ndo ilikuwa kazi ya Lyatonga!
 
Sitaki kuamini kuwa Mrema alivyoipa shida CCM katika uchaguzi wa 1995 alikuwa anaisaidia CCM! Nyerere asingekuwa na haja ya kumnadi Mkapa nchi nzima! Naweza kuamanishwa kuwa labda (nasema labda) baada ya huo uchaguzi wa 1995 ndio Mrema alipoanza kuwa agent wa CCM, lakini si wakati ule wa uchaguzi! Udhaifu mkubwa ninaouona kwa Mrema ni kuwa kwa bahati mbaya amekosa elimu ya kutosha (elimu dunia) kwa hiyo uwezo/upeo wake wa kufikiri kisomi (kwa mapana) hajakuwa nao. Utakubaliana na mimi kuwa huwezi kuweka hela yako (bet) upande wa Mrema katika 'mchezo' wa debate ya wanasiasa - sema Lipumba, Mbowe, Zitto, Slaa, Hamad Rashid, Mwakyembe, 'Mtikila' na wengine, hata na Kikwete! Labda, labda Makamba anaweza kupimwa na Mrema! Lakini kwenye suala la kudiriki (to risk/dare), mzee alidiriki bwana! Tumpe credit yake!

Lolote liwalo, nimesema Mrema ana mchango fulani katika kukuza upinzani nchini ... akina Lamwai,Marando nk ni wahanga wa uchanga wa siasa za mageuzi! Sidhani kama Lamwai mambo yake ni safi kama unavyosema! Unajua kukaa bila kusikika kwa mwanasiasa si maisha safi! Labda uniambie Lamwai alistaafu/alistaafishwa siasa!!! Lakini acha wakati wote kuisingizia CCM, Lamwai ana matatizo yake mengi, hata kwenye taaluma yake amekuwa na matatizo sana ya ki maadili!
 
Silazimishi mtu yeyote kuamini haya ila mimi naamini hivyo! Ni mtizamo wangu na mchango wangu kuhusu Lyatonga. Uelewe kuwa unaweza ukachangia usichokijua na huelewi kuwa unachangia. Sasa mwisho wa huyu tutaona kuwa anastaafu siasa na kurudi kiraracha. Wakati ukuta na tusubiri!!!
 
Mkuu mbona umeandika kwa hasira hivi lol!
 
Mkuu mbona umeandika kwa hasira hivi lol!

Usiwe na wasiwasi Mkuu, labda na wewe ni mtizamo wako kuwa nimeandika kwa hasira. Nisamehe kama nimekutisha,,, ni mtizamo tu,,, hata hivyo asante kwa ku point out hivyo
 
Zawadi kubwa ambayo wapenzi wa Mrema wanaweza kumpa ni mkono wa asante kwa yote wanayoamini aliyafanya na kumwombea mapumziko mema. Jamani mwacheni mzee wa Kiraracha astaafu, apumzike - hizi mshike mshike za zama hizi zinamzidi kimo. Mchango anaoweza kuwapa upinzani kama bado anao ni kuwaomba wafuasi wake kuunga mkono vyama ambavyo vinaonyesha uhai na ni tishio kwa MAFISADI. TLP, NCCR, DP n.k. zinadumaza upinzani nchini na laiti wangejifunza kutokana na historia, saa hizi watawala wetu wangekuwa makini zaidi na wangeachana na huu usanii.
 
Silazimishi mtu yeyote kuamini haya ila mimi naamini hivyo! Ni mtizamo wangu na mchango wangu kuhusu Lyatonga. Uelewe kuwa unaweza ukachangia usichokijua na huelewi kuwa unachangia. Sasa mwisho wa huyu tutaona kuwa anastaafu siasa na kurudi kiraracha. Wakati ukuta na tusubiri!!!

Mrema arudi kiraracha kwasababu wewe umesema?
Hata mtizamo wako si kweli kuwa unamake sense...Unapodai kuwa Mrema alinunuliwa kama wengine waliorudi ccm basi unajichanganya na unaonekana humpendi Mrema kwasababu za tofauti na hizo unazozitaja.
Na kwa wale wanaodai kuwa Mrema awaachie vijana, Je ni vijana wapi hao mnaowazungumzia?
 
Mrema alikuwa mchapa kazi alipokuwa CCM.

Akitaka 'kufanikiwa' kisiasa arudi CCM, maana CCM ndio mambo yote ndani ya yote hapa Tanzania.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Kidumu Chama Tawala

Atarudije Sisiemu wakati kazi aliyotumwa hajamaliza. Kiafya pia amedidimia so hayuko tena sharp na fit kwa kazi aliyotumwa ndo maana wanatafuta alternatives!!!!!

Mpinzani serious hawezi kumpokea Mrema!!!!!!!!! Ukweli ndo huo.

Ila aliyeanzisha tread hii sijui aliwaza nini maana hata kama Mtz uko ughaibuni but habari za Mrema zinajulikana. Usikute mnanzisha thread ili kupoteza mwelekeo ili tuache kuwajadili wasumbufuu wa nchi kama wale wa EPA na wengineo.

Hakuna yeyote anaweza kumpigia Mrema kura. Kisiasa ameshafilisika na waliomtuma sidhani kama wanamjali tena. Period.
 
Dada,
naona ingekuwa vema ungemshauri MZEE wetu Mrema na Kipenzi cha WALALAHOI wa TZ, akapumzike nikweli amefanya mengi lakini ni kweli pia kwa sasa AMEJICHOKEA kiafya na kisiasa pia.

Mzee Mrema mapumziko mema, tutakukumbuka sana kwa ushujaa wako na tumekusamehe makosa yako.
 
Duh kumbe mrema bado yuko huyu si ameshakufa kisiasa na tumeshamzika jamani ?

Mrema hawezi kufa hivyo unavyofikiria. Dua la kuku.....

Namuunga mkono Mwafrika wa kike kwani Mrema mwenyewe aliwahi kusema katika siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu. Kwa sasa tunapohitaji upinzani imara ni bora wajiunge pamoja lakini uangalifu uwepo ili CCM wasije wakapata mwanya wa kuwabomoa.
 
Mrema akijiunga na Chadema itakuwa ndiyo mwanzo wa safari yake ( Chadema sio yeye) kwenda kaburini. Angalia track record yake! NCCR-Mageuzi kaiyumbisha na hadi sasa haija-recover. TLP nayo hivyo hivyo. Ni opportunist, populist na mpenda makuu. Ataisaidia nchi kama ataamua kustaafu badala ya kubaki na ndoto ya kuingia Ikulu.

Aliye mlaani alisha kufa, (JK Nyerere RIP) saa sijui itakuwaje hapo!

Jamani ndiyo tumekata tamaa kabisa na huyu mzee?! Labda uchaguzi wa Biharamulo unaweza kuleta mwanga na kumulika kwenye mapito ya mzee huyu.

Natamani kweli Mwafrika wa Kike arudi jamvini!!
 
Mrema ndiye aliyekidhoofisha Chadema mara ya kwanza.

Chadema ndio chama kilichokuwa na nguvu kuliko vyote vya upinzani kilipoanza.Kilipoanza kikiwa na wanachama Wachaga wengi kibao wenye uwezo mkubwa kifedha na mori wa kutaka mabadiliko.

Mrema kukataa Chadema na kwenda NCCR nadhani ilikuwa mbinu ya kiakili sana ya kuiua Chadema kiujanja ya kuhamisha wachaga wenye uwezo kutoka CHADEMA wamfuate NCCR kwa kuwa alikuwa mgombea Uraisi Mchaga mwenye nguvu aliyekuwa akielekea kuwa pengine aweza kushinda.Mbinu hiyo ilifanikiwa.

Alipoamua kugombea uraisi NCCR, kweli wachaga wengi na mali zao walihama CHADEMA wakaenda NCCR kumuunga mkono MREMA.Baada ya wengi kuhama Chadema, CHADEMA ilidhoofika ikawa chama dhaifu kisichokuwa na nguvu kabisa.Chama kikuu cha upinzani kikawa NCCR.

Alipofika NCCR alikivuruga hicho chama hadi akakisambaratisha na kwenda zake TLP akaendelee na ajenda zake za kusambaratisha.Alipohama NCCR kwenda TLP wachaga wenye uwezo wengi isipokuwa wachache wakagoma kuhama naye kwa kuona hana ajenda zaidi ya kuwapotezea muda na mali zao.Wengine wakaenda CCM,Wengine wakabaki NCCR,Wengine wakarudi CHADEMA na wengine wakaapa hawaji kugusa siasa tena kutokana na mali zao kupotea kwa michango ya chama au kujihusisha na Siasa kulikowaletea misukosuko na dola ya chama tawala kwa biashara zao kuathirika n.k

Bahati nzuri Mbowe aliposhika uenyekiti akaanza kujenga upya Chadema kwa nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya hadi kukirudisha enzi za utukufu wake na kuzidi hadi kufikisha hapo kwenye ushindi wa Tarime.

Sasa Utukufu wa Chadema umerudi mtu anasema Mrema aende tena Chadema kufanya nini? …Watu wameshindwa uchaguzi sasa wanataka Mrema aende akaue Chadema!!!

Mrema alikuwa NCCR-Mageuzi, Huko alikuwa na Mabere Marando,Kina Chimoto n.k hawa wote walikuwa maafisa wa TISS/Usalama wa Taifa.
Chama hicho kilivuma na hatimaye kikasambalatika.Hivyo wana JF chukueni muda wa kumtafakali Mrema na mission aliyonayo.CCM ni chma machachari makada wake wengi wamefundishwa mbinu za KGB,ya enzi hizo.Kwa hiyo
msikurupuke Mrema ana mission maalumu.
Najua wengi hamtalielewa hili lakini chukueni muda kutafakari.
 
Back
Top Bottom