JAMANI WABUNGE WA TZ;
Kwa niaba ya Watanzania na hatima ya nchi yetu kwa vizazi vya sasa na vijavyo, TUNAWAOMBENI SANA huo muswada wa KATIBA MPYA msikubali isomwe kwa mara ya pili na kupitishwa na Bunge letu. Hili ombi halijali wewe ni Mbunge kutoka Chama gani cha Siasa, isipokuwa ni kwa wabunge wote bila kujali imani yako, rangi yako, kabila yako, kanda yako, Jinsia yako, una miaka mingapi Bungeni, au una itikadi gani ya kisiasa. Ni kwa Wabunge wote wa Bunge la Tanzania. Ni hakika Watanzania mnaowawakilisha huko wanawaombeni sana msikubali kupitisha huo muswada. Ndugu zetu Wabunge, japokuwa twajua kwamba kuna tofauti kati yenu ktk masuala mengine, lkn katika hili tunawaomba kwa dhat kabisa mshirikiane ili kuweza kuepusha hatari inayoweza kutokea iwapo hiyo rasimu itasomwa kwa mara ya pili na kupitishwa.
Wabunge wetu ndiyo mmebaki kuwa tumaini letu pekee ktk hili na Serikali yetu imetusahau kabisa, kwani angalieni jinsi wanavyochezea mambo ya msingi yenye hatima ya Taifa letu kwa kisingio cha Utandawazi na Soko Huria. Angalieni rasilimali zetu zinavyotoroshwa kwenda nje huku tukiachiwa mashimo hasa za madini wkt mali yote inakwenda nje na hata hizo pesa hazirudi kwenye Uchumi wetu, japo kwenye RECORD Zetu inaonyesha kwamba Export za Madini zinaongezeka mwaka hadi mwaka.
Spika wa Bunge, Mh. Anne Makinda; wananchi wamehoji mambo mengi sana kuhusu utendaji wako; tafadhali sana ktk hili tunaomba uwe upande wa Wananchi na si upande wa Serikali; kwani Bunge ni chombo huru na ndiyo yenye wawakilishi wa wananchi waliowapigia Kura. Tafadhali sana Mama saidia ktk hili.
Katibu wa Wabunge wa CCM; Mimi nikiwa mwanachama mwaminifu wa CCM, ninakuomba sana ktk hili la KATIBA, tafadhali wabunge wetu wa CCM ambao ndiyo wengi Bungeni, wasiitwe kabisa Chemba ili kupewa maagizo. Tunakuomba sana Katibu.
Mwisho natoa pendekezo kwa Wabunge; Tafadhali takeni kwenye mchakato wa kuandaa KATIBA MPYA; ndg. Fredrick Werema-Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Celina Kombani-Waziri wa Sheria na Katiba; wasihusishwe kwani tayari walishautangazia umma wa watanzania kwamba HAWAONI UMUHIMU WA KATIBA MPYA.
WanaJF; tafadhali wekeni maoni yenu kuhusiana na suala hili nyeti la KATIBA MPAYA.
Waberoya tunaomba mchango wako hapa pia.
Spika wa