Ombi kwa Wakuu! Kijana wenu nahitaji Kura zenu ( VOTES )

Ivan Breaker

JF-Expert Member
Jun 13, 2020
1,379
5,488
Habari!
Ni Ivan Breaker, nimefanikiwa kuwa miongoni mwa wawania tuzo za vijana chipukizi Tanzania zilizoandaliwa na @youthawards_tanzania. Kwa sasa ninafanya shughuli zote za mambo ya Digital Marketings.

Nipo Katika kipengele cha Tech-Preneur Of The Year 2023. Ukiwa kama ndugu/rafiki au mdau wangu unayeniSupport katika kazi zangu, naomba nichukue muda wako mfupi uniwezeshe kupata KURA yako ambayo unaweza nipigia kura kupitia

Jinsi ya kupiga Kura
Tembelea tovuti : www.teya.or.tz/vote

-Ukiingia hapa moja kwa moja inakupelekea kwenye sehemu za washiriki.
-Utaenda kwenye Profile yangu ( ) pembeni yake kuna sehemu ya Vote utaClick.
-Itakupeleka kuSign in With Google Account, utaSign in kisha itarudi kwenye kuVote ndio UtaVote maana bila Google account Kura haihesabiki.

Mwisho kabisa nawakumbusha Tikets bado zinapatikana, ni kwaajili ya Event hii ya usiku wa Tuzo za vijana, ambayo itafanyika siku ya tarehe 15 mwezi huu, Mlimani city hall

Kura yako ni muhimu kwangu. Vijana tumeamua kujiendeleza tunaomba Support zenu wakuu, ni muhimu sana kwetu
 
Attachments

  • IMG_20231022_165845_837.jpg
    IMG_20231022_165845_837.jpg
    148.2 KB · Views: 6
Habari!
Ni Ivan Breaker ama kwa jina halisi Daniel Martine nimefanikiwa kuwa miongoni mwa wawania tuzo za vijana chipukizi Tanzania zilizoandaliwa na @youthawards_tanzania. Kwa sasa ninafanya shughuli zote za mambo ya Digital Marketings.

Nipo Katika kipengele cha Tech-Preneur Of The Year 2023. Ukiwa kama ndugu/rafiki au mdau wangu unayeniSupport katika kazi zangu, naomba nichukue muda wako mfupi uniwezeshe kupata KURA yako ambayo unaweza nipigia kura kupitia

Jinsi ya kupiga Kura
Tembelea tovuti : www.teya.or.tz/vote

-Ukiingia hapa moja kwa moja inakupelekea kwenye sehemu za washiriki.
-Utaenda kwenye Profile yangu ( Daniel Martine ) pembeni yake kuna sehemu ya Vote utaClick.
-Itakupeleka kuSign in With Google Account, utaSign in kisha itarudi kwenye kuVote ndio UtaVote maana bila Google account Kura haihesabiki.

Mwisho kabisa nawakumbusha Tikets bado zinapatikana, ni kwaajili ya Event hii ya usiku wa Tuzo za vijana, ambayo itafanyika siku ya tarehe 15 mwezi huu, Mlimani city hall

Kura yako ni muhimu kwangu. Vijana tumeamua kujiendeleza tunaomba Support zenu wakuu, ni muhimu sana kwetu !View attachment 2792225
All the best
 
Back
Top Bottom