Ombi kwa Mh Mbowe,Mh Lema,Mh Lissu na Mh Dr. Slaa

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Tunaomba mchukue hatua haraka, msipochukua Hatua za haraka kulinusuru Taifa basi Watanzania waliochoka saaaana na haya maisha watatafuta mbadala wa Kupata Haki yetu.Nyie tumewapa dhamana ya kuongoza mapambano dhidi ya udhalimu,uozo unaofanywa na Ccm na Viongozi wake woooote.Basi tutachukua sheria mkononi na msije juta na kurudi kujilahumu kabisa.Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu mbona wako kwenye mapambano. Ni mapambano gani unataka? Fafanua mkuu
 
Nakubaliana na maelezo yako mkuu,tumechoka wengine hapa na huu udhalimu
 
tuweke moto zaidi wakuu kuna haja ya kufanya tukio kabla ya 2015 manake huko mbali sana na tukisubiri tutakuwa tumeshachelewa. Peopleeeeeeeeeeees!!! Power!!!!!
 
Tunaomba mchukue hatua haraka, msipochukua Hatua za haraka kulinusuru Taifa basi Watanzania waliochoka saaaana na haya maisha watatafuta mbadala wa Kupata Haki yetu.Nyie tumewapa dhamana ya kuongoza mapambano dhidi ya udhalimu,uozo unaofanywa na Ccm na Viongozi wake woooote.Basi tutachukua sheria mkononi na msije juta na kurudi kujilahumu kabisa.Naomba kuwasilisha.
<br />
<br />
naunga mkono hoja, ila naona una hasira sana Mkuu
 
teeeh....teeeh jamani tufanye kweli acheni kuunga mkono hoja.Muda utafika tu na mipaka yote itatuona tukipita na kigodoro tu kuelekea Rwanda tayari kwa makazi mapya kama wao walivyofanya kwetu Ngara.Teeeh...teeeh.
 
hatua gani wachukue..sumu haijaribiwi kwa kuionja, mambo yenu ya vyama mfanye kwa uangalifu.

Kweli sumu aijalibiwi kwa kulambwa na usitukane mamba ujavuka mto.Watanzania watapata haki zao hivyohivyo kwa kuwasukuma wabunge wa CCM kwa mbinu nyingi tu.Kwani waliamini kama Chadema wangeweza kucheza karata nzuri kama hizi tunazo ziona kupitia bungeni.Walizuia maandamano ya CDM sasa kinachoendelaea bungeni ni mwenendo huo huo wa kufikisha sauti ya umma.
 
Ngara hatuvuki ila siku ikifika hao CCM wakae mkao wa kukimbia nchi, ninahasira nao sana!
 
Tunaomba mchukue hatua haraka, msipochukua Hatua za haraka kulinusuru Taifa basi Watanzania waliochoka saaaana na haya maisha watatafuta mbadala wa Kupata Haki yetu.Nyie tumewapa dhamana ya kuongoza mapambano dhidi ya udhalimu,uozo unaofanywa na Ccm na Viongozi wake woooote.Basi tutachukua sheria mkononi na msije juta na kurudi kujilahumu kabisa.Naomba kuwasilisha.
brother....Be the change that you want to see in the world.*pigania haki yako popote pale ulipo na wasaidie wasiyojiweza kuitafuta hiyo haki kwa gharama yeyote ile, usisubiri chadema hata wewe unaweza.
 
Back
Top Bottom