Ombi kwa Mh Mbowe,Mh Lema,Mh Lissu na Mh Dr. Slaa

aisee nna uchungu mnoo hope ingekuwa kesho, saa ya ukombozi inakujaaaa magamba out!!!!

Hawa Pro-CDM-JF, Wazalendo wa bandia wanajidanganya mbele ya Laptop zao!
Cha kuchekesha zaidi wanahamishana halafu wote wapo undercover hawajuani wanatia huzuni sana

Tunaomba mchukue hatua haraka, msipochukua Hatua za haraka kulinusuru Taifa basi Watanzania waliochoka saaaana na haya maisha watatafuta mbadala wa Kupata Haki yetu.Nyie tumewapa dhamana ya kuongoza mapambano dhidi ya udhalimu,uozo unaofanywa na Ccm na Viongozi wake woooote.Basi tutachukua sheria mkononi na msije juta na kurudi kujilahumu kabisa.Naomba kuwasilisha.

Tamthilia ya Mangi

.............Naomba muongozo mkuu tufanyaje kabla ya 2015.........nataka kuondoa shilingi kama utaweka hapa tufanyaje...!!!

MWONGOZO KIDOGO WanaJF! Kwa kweli CCM wataona humu ndani ya JF ni ya wana CDM ila acha2 waone hivyo kwani kwa sasa hali si nzuri kbs na haya yote yanasababishwa na chama iliyoko madarakani na ckingine zaidi ya chama cha magamba CCM,na naunga hoja mkono kwa 100% ya kwmb Dr,Lissu na wengine kama hao nawaomba m2nusuru jamani kwani wa2 wawili watatu wamemiliki nchi na ku2weka pabaya. UKOMBOZI NI SASA NA KAMA SI SASA NI SASA HIVI. Aluta continue!! Nimechafukwa na roho jamani!!

Maneno maneno tu na mikwala ya dogo ya Magwanda!

wewe ni mkimbizi nini? Yaonekana uko na akili matakoni umekalia tu. Ina maana hauoni hali 2liyonayo? Kama makazi yako ni Burundi ama Rwanda twafadhali rudi tu huko utokako tena kafiche sura yako kama boga la kiangazi. Shwain wewe!

Unaunga mkono huku umejificha nyuma ya Laptop? Ujulikani jitokeze barabarani kama wewe una uchungu unaleta porojo tu
wewe acha upupu wako hapa, wamejificha vipi?mtumia jina lako kama wewe ni mwanaume uliye kamilika uje na huwo upupu wako uonejinsi utakavyoshughulikiwa ila ona makamnda tunavyo kunja front na name zetu za ukweli siyo yako ya bandia, siku zote nasema ukibishana na kilaza na wewe utakuwa kilaza....

Ajira hakuna,umeme hakuna,CCM mmeiuza nchi si mda mrefu tunaingia barabarani,bora wao wapungukiwe sisi tupoteze kabisa

wewe acha upupu wako hapa, wamejificha vipi?mtumia jina lako kama wewe ni mwanaume uliye kamilika uje na huwo upupu wako uonejinsi utakavyoshughulikiwa ila ona makamnda tunavyo kunja front na name zetu za ukweli siyo yako ya bandia, siku zote nasema ukibishana na kilaza na wewe utakuwa kilaza....

Weke jina lako kamili tukujue upo wapi Kilewo ni jina la ukoo la kichagga!
Ebu weka jina lako kamili wewe kamanda wa kihindi

hatua gani wachukue..sumu haijaribiwi kwa kuionja, mambo yenu ya vyama mfanye kwa uangalifu.

Mkuu haya maneno ni yako au ? Mambo ya vyama na wewe uko JF ? Hapa ni harakati tosha hakuna tofauti na siasa na wewe unasema mambo ya Vyama ambayo ni siasa wapeleke huko wewe unafanya nini hapa mkuu wangu si uondoke hapa pia ?Maana hapa hatuchimbi chumvi mkuu hapa ni jembe huitwa jembe tu .

Back
Top Bottom