Ombi: Ile barabara ipitayo baharini nyuma ilipokuwa Ikulu Dar ifunguliwe tupate kupita Wananchi kama zamani kuepusha mzunguko

Hivi mbona utawala huu vitu vingi ni tofauti?? kuanzia kanisani mpaka barabarani?
 
HAKA KA NJIA kangetusaidia wakati huu wa mvua na mifoleni ya mjini wakubwa tunawaomba kafungueni japo hadi saa 12
 
Viongozi wa kibongo wanajiona kama vile wanamaadui wengi kumbe ujinga wao tu, marekani yenye maadui dunia nzima ila wananchi wanaweza kuingia hadi ndani ya compound ya white house
 
Viongozi wa kibongo wanajiona kama vile wanamaadui wengi kumbe ujinga wao tu, marekani yenye maadui dunia nzima ila wananchi wanaweza kuingia hadi ndani ya compound ya white house
Halafu wanatusihi tuwaoombee, wakati siye mambo madogo kama haya hawatufungulii, lakini wao wanataka wafunguliwe ya mbinguni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom