Ole sendeka aichana vilivyo hotuba ya bajeti ya Magufuli

Haya ameyasema punde wakati alipoomba mwongozo wa mwenyekiti kwa kusema kua Wizara ya Ujenzi imekua na upendeleo kwa kujenga barabara nyingi ambako wanatoka viongozi wa serikali kwa huku barabara inayokwenda Butiama kwa Marehem Mwl Nyerere haipo kabisa,sorce: Tbc1 bungeni live

Huyu mzee yeye kila kitu anataka kipelekwe kwake tu, simanjiro. Hili haliwezekani na ni ubinafsi ameonyesha!
 
Back
Top Bottom