jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,604
- 3,753
Ninaandika kwa masikitiko sana juu ya huyu aliyekua naibu wazir wa ardhi.
Nakumbuka kwa mara ya kwanza kumuona alipokuwa kwenye kampeni wakati akinadiwa Ngaramton mh. rais,kweli alinadiwa kwa mbwembwe zote na kuahidi atamaliza tatizo la migogoro ya ardhi na maji,na bahati nzuri akachaguliwa wizara husika ya ardhi,mpaka leo naandika hapa hakuna hata moja umetekeleza na bahati mbaya umeng'olewa kwenye uwazir.
Maji ndoo moja inauzwa 500 angali tumezungukwa na mlima Meru unaomwaga mamilion ya lita kwa siku.
Tunakusubiri kwa hamu maswali tunayo mengi,
Jiandae.