Blaza Musa
Member
- May 25, 2013
- 28
- 5
Heshima kwenu wanajamvi,naomba msaada kwa anayeijua vizuri hii kampuni ya mikopo inayoitwa oikocredits,location,huduma inazotoa n.k
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Shehe nenda. Kijitonyama LAPF millenium tower office zao zipo pale boss wao anaitwa Deus Manyenye kama sikoseiHeshima kwenu wanajamvi,naomba msaada kwa anayeijua vizuri hii kampuni ya mikopo inayoitwa oikocredits,location,huduma inazotoa n.k
Nawasilisha.
Shehe nenda. Kijitonyama LAPF millenium tower office zao zipo pale boss wao anaitwa Deus Manyenye kama sikosei