Hii Habari ni ya March 17th 2011; na iko kwenye ajenda kujadiliwa na Wabunge Mwaka huu na pia Mahakama ya Kadhi
mamakunda udini upo wapi hapo? Je umeona udini wowote kwa nchi zilizotuzunguka zilizojiunga na oic? Acheni roho mbaya, hawa waislamu ni ndugu zenu wakipata misaada nyie mnaumia kwa nini? Mbona nyie mna ubalozi wa vatican hapa bongo na misaada mingi ya kanisa inapitia humo, au waislamu hawana haki ya kuendelea?
Kama OIC ni idini ubalozi wa vatcan uliopo hapa chini ni uapagani ? au hujui chemsha bongo kabla hujatoa maoni

Hivi jamani kwa nini watu wanang'ang'ania kujiunga na hii jumuiya ya nchi za kiislam? Kwa upande wangu naona haileti mantiki kabisa, Hapo ndo tutaaanza kukaribisha udini ambao tayari umeshaanza kuonekana. Na udini ni hatari sana
Kilaza kweli vatcan iko chini ya taifa linalojitegemea nikimaanisha nchi na serikali yake.sasa niambie OIC ni nchi au taifa gani?Kama OIC ni idini ubalozi wa vatcan uliopo hapa chini ni uapagani ? au hujui chemsha bongo kabla hujatoa maoni
Kama OIC ni idini ubalozi wa vatcan uliopo hapa chini ni uapagani ? au hujui chemsha bongo kabla hujatoa maoni
Acha uhuni.Habari hii ni ya mwaka juzi...na link ni hii hapa OIC kumlipukia Membe | Gazeti la MwanaHalisi Na Saed Kubenea - Imechapwa 14 July 2009
Hivi hata mwendamwazimu anaweza kugundua kuwa habari hii imepitwa na wakati....inazungumzia Membe kuwasilisha Bajeti ya Wizara yake....Mudhihiri akiwa Mbunge....Waislam kutishia kutoipa kura CCM uchaguzi wa mwaka 2010....
Tatizo,kuna nyakati moderators wanakuwa kama wamelala vile

Usichanganye mambo...Vatican ni nchi na sio organisation....Tanzania haijajiunga na Vatican
Kama OIC ni idini ubalozi wa vatcan uliopo hapa chini ni uapagani ? au hujui chemsha bongo kabla hujatoa maoni
Nampenda Dr. Slaa kama mmoja wa viongozi ninaodhani (bila kujali itikadi ya chama) wanaweza kuwa na manufaa kwa Taifa mbeleni. Lakini napitia kipengele kidogo cha CV yake kama kinavyoonekana hapa chini
. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
Ni dhahiri kwamba Dr. Slaa ametumika sana kanisanai mwa Bwana. Sasa najiuliza sana nini kilimtoa kanisani/madhabahuni na kukimbilia siasa? Je alifukuzwa huko kanisani? Na kama alifukuzwa kuna mwenye data ni kwanini? Au ni kiu tu ya kuwa RAIS? Au kuna zaidi ya hilo? Je kondoo wa Bwana walimshinda na sasa anataka awachunge watanzania?
Ni hayo tu