OIC kumlipukia Membe; Wabunge waandaliwa kumsulubu

Me naomba mnieleweshe vizuri kuhusu malengo muhumu na makuu ya kuanzishwa kwa OIC.
 
Hii Habari ni ya March 17th 2011; na iko kwenye ajenda kujadiliwa na Wabunge Mwaka huu na pia Mahakama ya Kadhi

Acha uhuni.Habari hii ni ya mwaka juzi...na link ni hii hapa OIC kumlipukia Membe | Gazeti la MwanaHalisi Na Saed Kubenea - Imechapwa 14 July 2009

Hivi hata mwendamwazimu anaweza kugundua kuwa habari hii imepitwa na wakati....inazungumzia Membe kuwasilisha Bajeti ya Wizara yake....Mudhihiri akiwa Mbunge....Waislam kutishia kutoipa kura CCM uchaguzi wa mwaka 2010....

Tatizo,kuna nyakati moderators wanakuwa kama wamelala vile
 
Hili suala halijaisha Serikali ya CCM haijasema kama Nchi haitajiunga na OIC; bado wanaangalia uwezekano na Bunge lijalo issue itajadiliwa

Kuna wana JF wanasema hili ni issue ya miaka iliyopita; lakini it is still going on at the government level they are still discussing about it...

Hakuna kuashiria udini kwenye suala hili
 
mamakunda udini upo wapi hapo? Je umeona udini wowote kwa nchi zilizotuzunguka zilizojiunga na oic? Acheni roho mbaya, hawa waislamu ni ndugu zenu wakipata misaada nyie mnaumia kwa nini? Mbona nyie mna ubalozi wa vatican hapa bongo na misaada mingi ya kanisa inapitia humo, au waislamu hawana haki ya kuendelea?

Nani aliyewazuia kuanzisha ubalozi wa OIC hapa nchini kama mnaona inafaa. Ungekuwa na ubongo mzuri na siyo mvivu wa kufikiri usingefananisha kamwe Vatican na OIC. Hicho kijumuia kinachonuka udini kitafilia mbali muda si mrefu. Labda wafikirie kuunda kingine.
 
Kama OIC ni idini ubalozi wa vatcan uliopo hapa chini ni uapagani ? au hujui chemsha bongo kabla hujatoa maoni

Ndiyo tatizo lenu. Wakati mwingine huwa nashawishika kufanya utafiti mdogo nione uhusiano uliopo kati ya imani ya kinanii na mparanganyiko wa ubongo. Hivi unaijua Vatican vizuri? Utafananishaje Vatican na OIC? Kama na ninyi mnataka OIC iwe na mabalozi duniani nani aliyewakataza. Tatizo lenu mnalishwa fikra potofu kwenye vijiwe vyenu vya kahawa na kashata halafu bila hata kuchambua mnakuja kumwaga humu jamvini. Mmeng'ang'ania kujiunga na OIC utafikiri utakuwa ndiyo mwisho wa umaskini wenu. Suluhisho la umaskni wenu siyo misaada. Ni kufanya kazi kwa bidii na kuacha kupiga porojo kwenye vijiwe vya kahawa na kashata. Kuna vinchi vilijiunga miaka na miaka kama Mali, Mauritania, n.k. Viulize hivyo vinchi vimefaidika nini mpaka leo!!! Wananchi wake ni maskini wa kutupwa tena umaskini wa kukosa hata maji ya kunywa na OIC inawaangalia!! Ndiyo utambue kuwa lengo mahsusi la OIC siyo kutatua matatizo yenu ya kiuchumi. Lengo lao limefichwa kwenye udini. Na bahati nzuri 'wakubwa' wamebaini hilo na ndiyo maana miaka michache ijayo hicho kijumuiya kitaparanganyika na kufilia mbali na udini wake.
 
Tupe kirefu cha vatcan na oic, na taratibu za kujiunga na vatcan pamoja na oic, ili tuweze linganisha kuwa zote ni jumuiya au nchi! Vilevile nchi zenye ubalozi wa oic ni zip duniani?
 
mamakunda udini upo wapi hapo? Je umeona udini wowote kwa nchi zilizotuzunguka zilizojiunga na oic? Acheni roho mbaya, hawa waislamu ni ndugu zenu wakipata misaada nyie mnaumia kwa nini? Mbona nyie mna ubalozi wa vatican hapa bongo na misaada mingi ya kanisa inapitia humo, au waislamu hawana haki ya kuendelea?

Swali ni kwa nini OIC haitaki kuwasaidia waislam wa TZ bila kuiingiza nchi. interest yao kutaka nchi nzima ni nini? mbona wakristu wanapata misaada direct angalia vyuo vikuu wanavyojenga, mahospitali, mabenki nk. OIC wana agenda ya kuislimisha serikali tu na si kusaidia, na kama ni kusaidia kwani lazima tujiunge? mbona waislam wanasaidiwa kwa kutibiwa na kusoma katika taasisi za kikristu bila kubaguliwa wala masharti nenda KCMC nenda Bugando, nenda kwenye mahospitali ya kanisa wilayani na vijijini, waislam kibao wanatibiwa wala hawaulizwi dini zao nitajie taasisi ya kiislamu inayofanya hayo. shida ni Vatican tu kuwa na balozi kwani TZ walipewa shart la kujiunga na Vatican? kwa taarifa yako hata Ubalozi ukiondoka wakristu hawatayumba kusaidia jamii maana kuwepo kwa ubalozi wa vatikan sio sharti la kuisaidia TZ kama ilivyo kwa OIC.
 
Hivi jamani kwa nini watu wanang'ang'ania kujiunga na hii jumuiya ya nchi za kiislam? Kwa upande wangu naona haileti mantiki kabisa, Hapo ndo tutaaanza kukaribisha udini ambao tayari umeshaanza kuonekana. Na udini ni hatari sana

Na cc wakristo tufikie wakati tufikiri ktk status yetu, kama huko kwenye hq ya OIC wameshindwa kuwasilimisha(wapo wakristo kibao) leo hii hiyo oic akamsilimishe kakobe,pengo au mzee wa upako! Huu ni ujinga ambao unatuweka tuonekane km tuna chuki na ndugu zetu waislm hali ya kuwa si hivyo-Kwani oic inakuja kutengua kifungu cha uhuru wa kuabudu atakakacho ktk katiba? Nadhani hata sasa wengi wanasilim na wengi wanaritadi kwa kila mtu atakavyo! Tuacheni ujinga kama wao wanadhani oic ndo mwarobaini wao si tuwaache tuone!
 
Kama OIC ni idini ubalozi wa vatcan uliopo hapa chini ni uapagani ? au hujui chemsha bongo kabla hujatoa maoni
Kilaza kweli vatcan iko chini ya taifa linalojitegemea nikimaanisha nchi na serikali yake.sasa niambie OIC ni nchi au taifa gani?
 
Acha uhuni.Habari hii ni ya mwaka juzi...na link ni hii hapa OIC kumlipukia Membe | Gazeti la MwanaHalisi Na Saed Kubenea - Imechapwa 14 July 2009

Hivi hata mwendamwazimu anaweza kugundua kuwa habari hii imepitwa na wakati....inazungumzia Membe kuwasilisha Bajeti ya Wizara yake....Mudhihiri akiwa Mbunge....Waislam kutishia kutoipa kura CCM uchaguzi wa mwaka 2010....

Tatizo,kuna nyakati moderators wanakuwa kama wamelala vile

hatari kweli kweli
 
Nampenda Dr. Slaa kama mmoja wa viongozi ninaodhani (bila kujali itikadi ya chama) wanaweza kuwa na manufaa kwa Taifa mbeleni. Lakini napitia kipengele kidogo cha CV yake kama kinavyoonekana hapa chini

. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010

Ni dhahiri kwamba Dr. Slaa ametumika sana kanisanai mwa Bwana. Sasa najiuliza sana nini kilimtoa kanisani/madhabahuni na kukimbilia siasa? Je alifukuzwa huko kanisani? Na kama alifukuzwa kuna mwenye data ni kwanini? Au ni kiu tu ya kuwa RAIS? Au kuna zaidi ya hilo? Je kondoo wa Bwana walimshinda na sasa anataka awachunge watanzania?
Ni hayo tu
 
Kama OIC ni idini ubalozi wa vatcan uliopo hapa chini ni uapagani ? au hujui chemsha bongo kabla hujatoa maoni

Ubalozi ni kitu tofauti; vatican ina hadhi ya ki nchi italy. Ni sawa na balozi mbalimbali za nchi za kiislamu kuwa tanzania, hiyo siyo udini. Tofautisha tanzania ni nchi isiyo na dini kikatiba -sasa haiwezi kujiunga na jumuia ya kiislamu au kikristo ndugu!!! think??
 
Nampenda Dr. Slaa kama mmoja wa viongozi ninaodhani (bila kujali itikadi ya chama) wanaweza kuwa na manufaa kwa Taifa mbeleni. Lakini napitia kipengele kidogo cha CV yake kama kinavyoonekana hapa chini

. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010

Ni dhahiri kwamba Dr. Slaa ametumika sana kanisanai mwa Bwana. Sasa najiuliza sana nini kilimtoa kanisani/madhabahuni na kukimbilia siasa? Je alifukuzwa huko kanisani? Na kama alifukuzwa kuna mwenye data ni kwanini? Au ni kiu tu ya kuwa RAIS? Au kuna zaidi ya hilo? Je kondoo wa Bwana walimshinda na sasa anataka awachunge watanzania?
Ni hayo tu

Hili linahusianaje na hoja au topic inayojadiliwa??? kama una haja fungua thread nyingine ya dr. slaa. Usijichanganye kwa makusudi kuchanganya watu.
 
mamakunda udini upo wapi hapo? Je umeona udini wowote kwa nchi zilizotuzunguka zilizojiunga na oic? Acheni roho mbaya, hawa waislamu ni ndugu zenu wakipata misaada nyie mnaumia kwa nini? Mbona nyie mna ubalozi wa vatican hapa bongo na misaada mingi ya kanisa inapitia humo, au waislamu hawana haki ya kuendelea?

waislamu hawana haki ya kuendelea kwenda wapi? kurudi nyuma? mbona kama maendeleo si lazima kujiunga OIC? WAPATE TU MISAADA wazidi kujenga misikiti na madrasa hulo ni jmbo jema sana linapunguza wezi na vibaka linatengeneza tu mujahidina ambao hao si issue kubwa.
 
Back
Top Bottom