OGOPA Prof. MAGHEMBE MZIZI WAKE BALAA!!!!!!!!!!

Hali itakuwa mbaya zaidi iwapo wimbi kubwa la nguvu kazi litaendelea kuhamia kwenye ''siasa'' kwa maana ya ''kijiwe''.Vijana wengi wametupa jembe chini na kuhamia kwenye mikutano,maandamano sasa nani atalima?


Huwezi kupunguza bei ya vitu ndani ya nchi wakati uzalishaji ni mdogo. situation iliyopo sasa ni demand kuwa kubwa zaidi ya supply. Pia supply iliyopo inaathiriwa na poor technology,climate change na sasa utashi binafsi na wa kisiasa.Nadhani vijana ambao ndiyo nguvu kazi ya Taifa tungepigania hili na si kwenye mchakamchaka,vijiwe ama majukwaa muda wote. We have to talk the talk and walk the talk.

Nasema hivyo kwa sababu hali iliyopo sasa ni ''siasa'' tu kwa maana ya mabishano kama ya ''mipira'' tena katika vijiwe yaani jua linachomoza mpaka kuzama.Ndio siasa imeshikilia maisha yetu lakini sisi pia ''we have a role to play''. Haya ni mawazo yangu, japo visingizio vitakuwa vingi lakini huu ndio ukweli.


Wito ni kuwa RELI IKIKATIKA TUUNGE ILI TRENI IPITE BADALA YA KUTUMIA MUDA MWINGI KUTAFUTA NANI KAVUNJA RELI (This has to come on the way).
 
Kwa kweli umeniacha njia panda......mzizi huo WA maghembe ni upi? Kwa babu AMA? Generally kiutendaji huyu mhishimiwa sana simkubali since Enzi zileee alipokua elimu, wizi WA mitihani ulikithiri, full kugoma vyuoni ie. mikopo kwa wanavyuo kauzibe za kufa MTU, yani vululuvululu...4real Kama ni mtaalam aliyenae atakua mkali sana. JK mwnyw katulizwa. Lol
....

hivi Maghembe ni Prof. wa nini? na prof. Majimarefu type au?
 
Huyo muacheni ni best wa jk hata huko jimboni kwake anatamba hivyo simnakimbuka alivyokuwa anawatukana wazee waliomtangulia waziwazi? Na jk anafahamu lakini jamaa anapeta
 
Wangegoma hawa mawaziri wa kislamu.Baraza libadilishwe kutoka la mawaziri kuwa la kikristo.Nadhani ingekuwa imekaa vizuri

Kwani majukumu yao kunayanayo hitaji elimu ya dini? Hatuhitaji dini kwenye kazi za mawaziri jamani-tuwe wakweli. Mtu apimwe kwa utendaji wake. Hata wakiwa wapagani wote ni sawa tu- tunachotaka ni wao kutimiza majukumu yao.
 
mchele hauna soko ulaya. Watu wa ulaya ( wazungu) mara chache sana wanakula vyakula vya mchele. Lakini hapa tanzania mchele ni chakula maarufu sana.

Chakula hakiuzwi bei rahis tu kwa 7bu hakina soko,basi kingaletwa huku ambako ni bei ya juu ili wapate pesa nyingi. Linganisha bei ya sukari ya nje na ya Mtbwa, uwiano? Wa Tz weng mnahitaji brain surgery!
 
Tatizo sio Maghembe, tatizo ni mfumo pamoja na udhaifu wa serikali. Wengi walio serikalini na Bungeni ni wafanya biashara wao wenyewe au ni maswahiba wa wafanya biashara. Matokeo yake madudu yakifanyika, serikali inafumba macho.

Mfano, mara nyingi kumekuwa na malalamiko ya wakulima wa pamba kuuziwa mbegu fake. Hakuna mfanya biashara hata mmoja ambaye alishawahi kuchukuliwa hatua.

Mbolea fake kimeishakuwa ni kilio cha kila mahali na kila mwaka, na sasa wakulima wameanza kupoteza imani. Lakini mbolea hizo zinaagizwa na wafanya biashara. Pamoja na malalamiko na kelele za wakulima, serikali haijawahi kuchukua any kind of initiative kufuatilia kuona tatizo liko wapi?

Serikali haifanyi hivyo kwa kuwa ama viongozi serikalini wana hisa kwenye hizo kampuni fisadi au wanapewa mgao. Malalamiko ya mbolea fake au mbegu fake za pamba, yangekuwa yalisha attract attention PCCB na uchunguzi wake wala si mgumu, maana ni swala la kuchukua mbolea na kuipeleka kwa mkemia mkuu na kuona kama inakidhi ubora unaotakiwa. TBS wangekuwa wanawajibika kusingekuwa na hayo.

Tunajua ni kampuni ipi inaagiza mbolea, kampuni gani inaagiza chakula na mengineyo kibao. Lakini kwa kuwa hao wafanyabiashara ndio wachangiaji wakubwa kwenye kampeni za CCM, serikali imefumba macho na kuweka rehani maisha ya watanzania. Kila siku wakulima wanajitahidi kujikwamua, lakini mwisho wa siku wanajikuta na mzigo wa deni kwa kuuziwa pembejeo fake ambazo hazina ubora unaotakiwa.
 
hali itakuwa mbaya zaidi iwapo wimbi kubwa la nguvu kazi litaendelea kuhamia kwenye ''siasa'' kwa maana ya ''kijiwe''.vijana wengi wametupa jembe chini na kuhamia kwenye mikutano,maandamano sasa nani atalima?


Huwezi kupunguza bei ya vitu ndani ya nchi wakati uzalishaji ni mdogo. Situation iliyopo sasa ni demand kuwa kubwa zaidi ya supply. Pia supply iliyopo inaathiriwa na poor technology,climate change na sasa utashi binafsi na wa kisiasa.nadhani vijana ambao ndiyo nguvu kazi ya taifa tungepigania hili na si kwenye mchakamchaka,vijiwe ama majukwaa muda wote. We have to talk the talk and walk the talk.

Nasema hivyo kwa sababu hali iliyopo sasa ni ''siasa'' tu kwa maana ya mabishano kama ya ''mipira'' tena katika vijiwe yaani jua linachomoza mpaka kuzama.ndio siasa imeshikilia maisha yetu lakini sisi pia ''we have a role to play''. Haya ni mawazo yangu, japo visingizio vitakuwa vingi lakini huu ndio ukweli.


Wito ni kuwa reli ikikatika tuunge ili treni ipite badala ya kutumia muda mwingi kutafuta nani kavunja reli (this has to come on the way).

''frustration''
 
Huyu jamaa kweli hafai kuwepo kwenye safu mpya hata DC aliyejiuzulu amedai Maghembe ndo nuksi, JK bana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom