OGOPA Prof. MAGHEMBE MZIZI WAKE BALAA!!!!!!!!!!

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Kwa kweli nimesikitika kutoswa kwa Mh. Nundu na kuachwa kwa Prof. Maghembe.

Hivi kweli ana justify vipi mchele kufikia shilingi elfu 3000, korosho kukosa soko, mbolea feki, mazao kuozea shambani, wakulima kukopwa nk...
Jamani nisaidieni kutaja:-......halafu anahamishiwa sijui wizara gani ile ili akahujumu vizuri !

Nadhani kama haikuwa oversight upande wa Mh. Rais basi kuna syndicate somewhere. Nundu ambaye angepewa nafasi, ametupwa kapuni.
:hungry:
Haya kazi kwako Mathayo kwani nina uhakika haitatokea mchele ushuke bei tena. Tunataka mapinduzi ya KILIMO tengeneza mpango na wataalamu wako muweke mazingira ya kuwekeza kwenye kilimo yawe ya kuvutia ili vijana wavutiwe na wajiajiri.
Kwa kweli watu sasa chakula imekuwa shida. Hata kwenye hoteli za kitalii chakula shida tupu sahani hadi 45000 yenye vichips vitano au wali kiganja kimoja. AIBU!

Watalii wanapashwa kutusifia kwa chakula kingi kizuri. Siku hizi hoteli ni tupu labda akina Maige & Co ndo wanaweza kwenda kula.
 
Kwa kweli watu sasa chakula imekuwa shida. Hata kwenye hoteli za kitalii chakula shida tupu sahani hadi 45000 yenye vichips vitano au wali kiganja kimoja. AIBU!

Moony,

Huo mfano wako uliotoa sio sahihi.Wao kuuza sahani 45,000 haitegemei hali ya chakula hata kidogo. Kikubwa hapo ni kwamba demand ya msosi wao ni "Inelastic" hata wakiuza 60,000 wateja wao watakula tu...
 
Hii bei ni kubwa kuliko hata ulaya. katika moja ya nchi niliyowahi kuwepo miezi miwili tu iliyopita kilo moja ya mchele ni kama euro 1.20 ambayo ni sawa na shilingi 2400. Sasa ulaya ambako wanaimport mchele wanauza bei rahisi kuliko bongo ambako tunalima mchele wenyewe. Halafu bila aibu utakuta watu wenye akili timamu kabisa wanapiga mkofi na kumsifia Kikwete na CCM. Unajiuliza hata hupati jibu kama wana mtindio wa ubongo au namna gani.
 
hii bei ni kubwa kuliko hata ulaya. Katika moja ya nchi niliyowahi kuwepo miezi miwili tu iliyopita kilo moja ya mchele ni kama euro 1.20 ambayo ni sawa na shilingi 2400. Sasa ulaya ambako wanaimport mchele wanauza bei rahisi kuliko bongo ambako tunalima mchele wenyewe. Halafu bila aibu utakuta watu wenye akili timamu kabisa wanapiga mkofi na kumsifia kikwete na ccm. Unajiuliza hata hupati jibu kama wana mtindio wa ubongo au namna gani.

mchele hauna soko ulaya. Watu wa ulaya ( wazungu) mara chache sana wanakula vyakula vya mchele. Lakini hapa tanzania mchele ni chakula maarufu sana.
 
Nakwambia mpaka hawa mawaziri Waislam wote watoke ndio kelele hizi zitakwisha. Kazi mnayo!!! Endeleeni kupiga domo.
 
magehembe ananikumbusha Kapuya. jitu vivu, liloloingia kwenye siasa kwa bahati huku akiwa hana hata chembe moja ya uongozi wowote.
 
hawa jamaa wataiacha nchi ipo taabani , nadhani mpaka jamaa anatoka madarkani tutakuwa tunaelekea number ya mwish o kwenye hii block yetu ya EA
 
Uzalishaji wa mpunga kwa Tanzania upo chini sana tunapata 1-2 tons/ha wakati wachina wana super rice inayotoa hado 20tons/ha wajapan nao wanatoa 8tons/ha ila wao wanajali zaidi quality shida kubwa yetu ni kuwa mpunga unaozalishwa Tanzania untegemea mvua ni 6% tu ndio inategemea umwagiliaji, mbegu duni, ukosefu wa mbolea na pembejeo nyingine na zana duni karibu kila kazi inafanyika kwa mkono, matokeo yake mwaka hauna mvua mpunga unapanda bei sana ukitilia maana mpunga unahitaji maji mengi sana maana ni C3 plant! sera ya kilimo kwanza sijui ina accomodate vipi matatizo haya ya uzalishaji! Tanzania hatuna shida ya maji ila tatizo ni miundo mbinu ya umwagiliaji mto rufiji, ruvuma nk inamwagika baharini wakati sisi tunalia ukame,.mvua zinasababisha mafuriko baada ya muda ukame.Are we serious with our agriculture???
 
Kwa kweli nimesikitika kutoswa kwa Mh. Nundu na kuachwa kwa Prof. Maghembe.

Hivi kweli ana justify vipi mchele kufikia shilingi elfu 3000, korosho kukosa soko, mbolea feki, mazao kuozea shambani, wakulima kukopwa nk...
Jamani nisaidieni kutaja:-......halafu anahamishiwa sijui wizara gani ile ili akahujumu vizuri !

Nadhani kama haikuwa oversight upande wa Mh. Rais basi kuna syndicate somewhere. Nundu ambaye angepewa nafasi, ametupwa kapuni.
:hungry:
Haya kazi kwako Mathayo kwani nina uhakika haitatokea mchele ushuke bei tena. Tunataka mapinduzi ya KILIMO tengeneza mpango na wataalamu wako muweke mazingira ya kuwekeza kwenye kilimo yawe ya kuvutia ili vijana wavutiwe na wajiajiri.
Kwa kweli watu sasa chakula imekuwa shida. Hata kwenye hoteli za kitalii chakula shida tupu sahani hadi 45000 yenye vichips vitano au wali kiganja kimoja. AIBU!

Watalii wanapashwa kutusifia kwa chakula kingi kizuri. Siku hizi hoteli ni tupu labda akina Maige & Co ndo wanaweza kwenda kula.

Acha ulevi na huyu anaingiaje hapa kwenye kilimo!
 
Kwa kweli umeniacha njia panda......mzizi huo WA maghembe ni upi? Kwa babu AMA? Generally kiutendaji huyu mhishimiwa sana simkubali since Enzi zileee alipokua elimu, wizi WA mitihani ulikithiri, full kugoma vyuoni ie. mikopo kwa wanavyuo kauzibe za kufa MTU, yani vululuvululu...4real Kama ni mtaalam aliyenae atakua mkali sana. JK mwnyw katulizwa. Lol
 
Kwa kweli nimesikitika kutoswa kwa Mh. Nundu na kuachwa kwa Prof. Maghembe.

Hivi kweli ana justify vipi mchele kufikia shilingi elfu 3000, korosho kukosa soko, mbolea feki, mazao kuozea shambani, wakulima kukopwa nk...
Jamani nisaidieni kutaja:-......halafu anahamishiwa sijui wizara gani ile ili akahujumu vizuri !

Nadhani kama haikuwa oversight upande wa Mh. Rais basi kuna syndicate somewhere. Nundu ambaye angepewa nafasi,

Mi kanichuza nitumie minjingu matokeo yake nimevuna visivyo lika huyu waziri hafai
 
Wangegoma hawa mawaziri wa kislamu.Baraza libadilishwe kutoka la mawaziri kuwa la kikristo.Nadhani ingekuwa imekaa vizuri
 
Nadhani katika mawaziri aliyepitia wiazara nyingi katika muda mfupi (2006 - todate) , ni waziri Maghembe. Nadhani ni record. Labda anafanya kazi vizuri ndiyo maana anazungushwa.
Amepita
Kazi na Ajira
Mali Asili na Utalii
Elimu
Kilimo na Chakula
Maji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom