Ofisi ya Waziri mkuu kuanza kutumia usafiri wa bajaji na bodaboda lengo ikiwa kubana matumizi.

Ofisi ya Waziri Mkuu itatumia usafiri wa bajaji nabodaboda kuendesha shughuli zake kuanzia mwaka ujao wa fedha wa 2016/2017 ikiwa ni mkakati wa kubana matumizi wa Serikali ya Awamu ya Tano.

Kama umefurahishwa na swaga hizi za ofisi ya Waziri mkuu comment neno 'YES' na kama unaona wanazingua comment 'NO'

Chanzo : EATV
View attachment 341850
1475581897903.png
 
Vipi mkuu mh!waziri mkuu nae atakuwa anatumia bajaji au
 
Tusiishi kwa mazoea
Hata wakiamua kutumia baiskeli inawezekana sana, wala sitoshangaa.

Imeeandikwa wap watu wenye vyeo fulani wasitumie iyo mambo
 
Ofisi ya Waziri Mkuu itatumia usafiri wa bajaji nabodaboda kuendesha shughuli zake kuanzia mwaka ujao wa fedha wa 2016/2017 ikiwa ni mkakati wa kubana matumizi wa Serikali ya Awamu ya Tano.

Kama umefurahishwa na swaga hizi za ofisi ya Waziri mkuu comment neno 'YES' na kama unaona wanazingua comment 'NO'

Chanzo : EATV
View attachment 341850

Safi sana, nilikuwa naombea sana tufikie mahali tutumie usafiri wa kawaida ili kubana matumizi; ni pesa chungu nzima zinatumika kwenye safari za kikazi kwa kutumia usafiri ghali,bora sasa hivi..kitu cha bajaji/boda boda shaaaaaaa! kwanza ni fasta kwenye foleni pia ni cheap...
 
Vizuri kabisa na inafaa sana tena boda boda zinapita kila mahali na nirafiki kwa mazingira yetu.Kama zilishawai tumika miaka ya nyuma Honda Trail 110 barabara zikiwa sio imara kwanini sasa hivi miundo mbinu mizuri zisitumike.Huko ndio kubana matumizi nashauri zitumike kabisa.Hii ndio italeta matumizi mazuri ya kodi badala ya kutumia mashangingi.Ambao awafiki waache kazi mtaani vijana ni wengi wanatafuta ajira hata ukimwambia usafiri wake wa kazi utakuwa baiskeli atakubali.
 
Ni katika nchi za ulimwengu wa tatu unakuta kampuni au tasisi inafanya kazi mfano ofisi yake ipo wilayani ikitoa huduma zake vijijini huku muajiriwa wa hiyo kampuni au tasisi akitumia Pikipiki ya kampuni mfano Yamaha au Honda kuhudumia umbali wa km 100 kwenda na kurudi km200 kwa kutumia usafiri wa pikipiki,hapo hapo land cruiser ya halmashauri inatumia dereva na afisa kwenda kijijini na kurudi.Huku unabakia ukijiuliza kwanini isitumike njia rahisi kama pikipiki badala ya Gari hili kuokoa kodi na kuipeleka kwenye matumizi ya lazima kama afya elimu maji na miundominu.Hili wazo ni zuri sana sana na limechelewa mno,tufike mahali tukubali kubana matumizi.
 
Shida sio magari ni tatizo tatizo ni aina ya magari mnayoyatumia ni gharama sana yapo magari mazuri ila sio gharama kama hayo majini Toyota wanapata sana faida pekee kwa kuiuzia Tanzania hayo madudu yanafanya serikali kuingia gharama kubwa sana kwa uendeshaji wa magari pekee..
 
Bajaji kwa trip za mjini sawa hapo kwenye boda boda hapana aisee. Ajar nyingi sana za boda boda
 
Matumizi ya usafiri wa baiskeli na bodaboda si mabaya kivile. Tatizo kama habari hii ni ya kweli watakaoenyeka nao ni wale watumishi wa level ya chini tu. Na kutokana na mazingira yaliyopo ya usafiri huo katika miji yetu yote Tanzania basi ni vyema hao watumishi wakakatiwa kabisa bima ya maisha.
 
Hivi haya maneno ni ya KWELI??? Chanzo??
Watu wanatoa maoni bila hata kujiuliza ukweli ma maneno..kukurupuka tu
 
Kuna watu watajikuta wapo admitted Mirembe very soon...katika hizi sarakasi za kujaribu kumfurahisha JPM (Jamal P.Malinzi)
 
Serikali ya sasa maigizo tu. Pumba pumba tu. Kuto tumia magari ya serikali si kubana matumizi. Cha msingi ni kubadilisha magar tu
 
Mimi naona ni kitu kinachowezekana kwa safari fupi fupi, kwa safari za kutoka ofisi ya waziri mkuu kwenda maeneo kama ya posta au bank kwa mkoa wa dodoma huitaji gari kwani matumizi mabaya ya rasilimali.
 
Ofisi ya Waziri Mkuu itatumia usafiri wa bajaji nabodaboda kuendesha shughuli zake kuanzia mwaka ujao wa fedha wa 2016/2017 ikiwa ni mkakati wa kubana matumizi wa Serikali ya Awamu ya Tano.

Kama umefurahishwa na swaga hizi za ofisi ya Waziri mkuu comment neno 'YES' na kama unaona wanazingua comment 'NO'

Chanzo : EATV
View attachment 341850
Kama kweli vile!
PM aliyepita (mtoto wa mkulima) alituamnisha ma-VX & V8 hayatatumika tena serikalini ili kubana matumizi ila maajabu ya Musa ndio yamefurika barabarani!!
 
Back
Top Bottom