Elections 2010 Ofisi ya Mbunge wa Nyamagana

Hao ni vikaragosi tuu!. Wanakera na kwa kweli wanahitaji kupigwa mawe kama vibaka wanavyofanyiwa na wananchi wenye hasira kali. Poleni wanaNyamagana kwa hilo tukio, mkisema mumpeleke polisi haitasidia kitu, dawa ni ni kutumia nguvu ya umma kama mlivyofanya kumung'oa, basi tumieni nguvu hiyohiyo ya umma kumponda mawe...Ni mwizi huyo!
 
Mimi nadhani Serikali ingehakikisha kwamba siyo tu wanajenga ofisi za kila mbunge, lakini pia wanaweka samani zote ndani ya ofisi hizo ili mbunge asiwe na sababu ya kununua samani zake mwenyewe au kujenga ofisi mwenyewe. Lakini kwa mazingira haya ambapo wabunge wanajinunulia samani za ofisi zao, hata mimi ningeondoa samani zangu baada ya kushindwa ubunge, hasa ukizingatia mchakato wa kuwania ubunge si wa kirafiki bali ni wa uadui, ugomvi, matusi na kukashifiana baina ya wanaogombea. Kwa nini mtu umwachie "adui" yako vitu ulivyonunua kwa fedha zako mwenyewe, na si Serikali iliyonunua?
 
Back
Top Bottom