Office attendant

Tunatafuta mhudumu wa ofisi awe binti amemaliza kidato cha nne,call 0783 215 450
 
Tunatafuta mhudumu wa ofisi awe binti amemaliza kidato cha nne,call 0783 215 450

sasa labda ungeseam na umri na vigezo vingine manake wengine kupiga pasi kuwa na uhakika wa kumeet minimum requirement zako ni ishu.
 
huyu anatafuta mabint waliomaliza form four za kata atakuwa na sehemu ya kutolea viburudisho. mabint kuweni makini na mtu huyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom